Kipingu atoboa siri ya Kaseja, Mgosi na msitu wa Lugalo "Haikuwa rahisi kuwaingiza kwenye mfumo, wakati, walimu wangu waliniambia kwa hawa hapana," ndivyo anaanza kusimulia Kanali Mstaafu, Iddi Kipingu.
Uchaguzi TOC kimeeleweka, mrithi wa Bayi kuajiriwa Kamisheni ya uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), imesema uchaguzi wa Kamati hiyo msimu huu utafanyika Desemba 14 mjini Dodoma.
Wosia wa Tesa wasomwa kwa video WAKATI mmoja wa watoto wawili wa Grace Mapunda (Tesa) aitwaye Rita akipewa nafasi ya kuigiza kwenye tamthilia ya Huba aliyokuwa akiigiza mama yake, wosia wa muigizaji huyo umesomwa kwa njia ya...
Makocha, Waamuzi judo wanolewa kimataifa MAKOCHA na Waamuzi30 wa mchezo wa judo wameanza mafunzo ya kimataifa ya mchezo huo ya level one.
Tanzania, China waliamsha Tenisi ya Meza NYOTA watano wa timu ya taifa ya mpira wa Meza (Table Tennis) ni miongoni mwa waliochuana katika msimu mpya wa mashindano ya mchezo huo ya Kombe la Urafiki kati ya China na Tanzania.
Mke asimulia dakika za mwisho za Gidabuday "NILIPIGIWA simu na mtu ambaye aligoma kujitambulisha ni nani, na hadi leo sijamfahamu akaniambia mume wangu amegongwa na gari amefariki," anaanza kusimulia Eva Baltazar, mke wa katibu mkuu...
Gidabuday kuzikwa Jumamosi Katesh MWILI wa Wilhelim Gidabuday utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele Jumamosi kijijini kwao Nangwa, Katesh.
Aliyekuwa Katibu Mkuu RT Gidabuday afariki dunia Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelm Gidabuday amefariki dunia. Inaelezwa Gidabuday amefariki dunia saa 7 usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 10, 2024...
Ni zamu ya Jaydee, asimulia alivyoanza MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura maarufu Lady Jay Dee au Jide amesimulia alivyoimba kwa mara ya kwanza wakati akitafuta kutoka kimuziki.
Arusha mabingwa wapya riadha Taifa MKOA wa Arusha umeibuka kinara mpya wa riadha taifa baada ya kutwaa medali 21, dhahabu zikiwa 10, fedha tano na shaba sita.