HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 17 Nilimtaka mlinzi huyo kwa akili yangu kwani nilishapanga kuhamia nyumbani kwa Mustafa pindi mume wangu awapo safarini, hivyo nilitaka nyumba yetu iwe inalindwa usiku ili wezi wasije wakatuibia.
HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 19 Baada ya kulisimamisha gari, tuliingia ndani. Nilimuona mama yake. Alikuwa amekaa sebuleni. Alikuwa mwanamke mnene na mfupi. Nilimkadiria umri wake kuwa ulishafikia miaka themanini. Alikuwa...
Bomu mkononi - Sehemu ya 18 ILIISHIA HAPA... “Tuna utaratibu wa kubadilishwa mara kwa mara lakini itakapokuwa hivyo nitakujulisha,” mlinzi huyo akaniambia. “Hakuna tatizo,” nikamjibu. Kutoka siku ile nyumba yetu ikawa na...
HADITHI: Bomu Mkononi - 14 Mishi, mtoto mkali cheupe wa Kitanga, ambaye ukimwona unaweza kudhani ni Mwarabu, ameolewa na dereva wa malori, Musa, lakini kwa tamaa anaanza kukolea kwa mfanyabiashara mwenye Range Rover, Mustafa.
HADITHI: Bomu Mkononi - 13 Mishi, binti mrembo wa Kitanga ndoa yake na dereva wa malori, Musa ndio kwanza changa. Lakini anachanganyikiwa baada ya kupewa lifti kwenye Range Rover ya kijana mfanyabiashara, Mustafa ambaye...
HADITHI: Bomu Mkononi - 12 Mishi, binti mrembo wa Kitanga ndio kwanza ametoka kuolewa na dereva wa malori, Musa, ambaye amekuwa akimpa zawadi nyingi hadi zikamvuruga akakolea na kuolewa. Lifti aliyopewa katika Range Rover...
HADITHI: Bomu Mkononi - 11 Mishi, binti mrembo wa Kitanga, ndio kwanza amefunga ndoa na dereva wa malori, Musa, ambaye amekuwa akimpa zawadi mbalimbali zilizomchanganya hadi akakolea. Ghafla anamuona shosti wake, Amina...
HADITHI: Bomu Mkononi - 10 Mishi baada ya kukolea kwa dereva wa malori, Musa wanafunga ndoa. Leo ni siku ya ndoa...
HADITHI: Bomu Mkononi - 8 Mishi, binti mrembo wa Kitanga, anakolea kwa kijana dereva wa malori, Musa, ambaye amefika bei anataka kumuoa. Hapa Mishi yuko kwa kungwi anaendelea kufundwa.
HADITHI: Bomu Mkononi - 7 Mishi, binti mrembo wa Kitanga, anakolea kwa kijana dereva wa malori, Musa, ambaye amefika bei anataka kumuoa. Hapa Mishi yuko kwa kungwi.