Aziz Andabwile afichua mipango Yanga Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini na tahadhari...
PRIME Nani anampisha Mpanzu Simba? SWALI kubwa ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza kwa sasa ni kwamba ujio wa winga mpya, Elie Mpanzu pale kikosini ni mchezaji gani anakwenda kumpisha? Hiyo inatokana na namna ambavyo...
Ndumbaro: Kriketi dunia wanafuzu Dar SERIKALI imesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchezo wa kriketi kiasi cha kuaminiwa kuandaa mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia kwa upande wa Afrika, yajulikanayo kama ICC Men’s...
Johari: Ndiyo, mimi bibi basi mniheshimu MSANII maarufu wa Bongo Movie, Blandina Chagula 'Johari' amesema hatapumzika kufanya sanaa kwani haina cha mkubwa na mdogo hata nafasi ya bibi atacheza kama wengi wanavyomwita.
Wachezaji Coastal wapigwa mkwara wakiivaa JKT Tanzania Uamuzi huo wa Lazaro umekuja baada ya kuishuhudia Coastal Union ikipoteza mechi tatu mfululizo, huku ikiwa na pointi moja katika michezo minne ya mwanzo wa ligi.
Dilunga asimama na Chama KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Hassan Dilunga amemtaja Clatous Chama kuwa ni kiungo bora aliyewahi kumshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni kwa mastaa wa kigeni waliobahatika kucheza...
Moallin bado anapambana na mambo mawili KOCHA Mkuu wa KMC, Abdihamid Moallin amesema anafurahishwa na mwenendo wa kikosi hicho, lakini jambo analolifanyia kazi kubwa kwa sasa ni kutengeneza balansi nzuri kwenye eneo la kujilinda na...
PRIME PUMZI YA MOTO: Feitoto aifunga Yanga bao la tatu WIKI iliyopita habari iliyotawala ulimwengu wa michezo Tanzania ni kauli ya nyota wa Azam FC na Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuhusu uhusiano wake na rais wa klabu ya Yanga, Hersi Said.
PRIME Simba, Yanga bado dakika 270 Kibarua walichonacho wakongwe hao kila mmoja ni katika kuwania pointi tisa zinazopatikana katika mechi tatu zijazo za Ligi Kuu Bara kabla ya kufika Oktoba 19 mwaka huu ambapo watakutana wenyewe...
PRIME HISIA ZANGU: Mnyama alianza kama swala akamalizia kama Simba NA walimaliza kazi huku kila mtu akibaki na mdomo wazi. Kama ilivyo kawaida yao. Simba. Uwanja wa Mkapa ni wao. Ni katika mechi za kimataifa. Zipo jioni chache ambazo waliwahi kukosea, lakini hii...