EDGAR: Mashine ya mabao, tumaini la Fountain EDGAR William ni miongoni mwa maingizo mapya kwenye kikosi cha Fountain Gate msimu huu na tangu msimu huu umeanza tayari ameonyesha ni mshambuliaji hatari kwa kufumania nyavu za wapinzani jambo...
Bajana aongeza mzuka Azam FC Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao Azam FC ilishinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania na kumfanya kukosekana kwa muda mrefu kikosini humo.
Madina apigia hesabu Morocco MCHEZA gofu mahiri wa Tanzania, Madina Iddi anajiandaa na mashindano ya Afrika ya mchezo huo yatakayofanyika Agadir, Morocco, Novemba mwaka huu.
Tanzania yatoa vipigo Kriketi T20 TIMU ya Taifa ya Kriketi ya Tanzania imeshinda mizunguko 20 bila upinzani mkubwa na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia.
Makatta awafungia kazi mastraika PAMOJA na matokeo ya sare kuiandama Tanzania Prisons, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbwana Makata ameipongeza beki yake kwa kutoruhusu bao lolote, huku akiwafungia kazi mastraika. Maafande hao...
Rekodi, wasifu wambeba Basigi Simba Queens Awali ilielezwa kuna uwezekano mkubwa wa Gizaw kuja kuwa mrithi wa aliyekuwa kocha Mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda lakini sasa Simba ni kama imempotezea na kumgeukia Basigi iliyemtambulisha mchana...
Azam Media yaiachia msala TPBRC TASNIA ya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kwa sasa inapita kwenye kiza kinene baada ya mdau mkubwa wa udhamini wa haki za matangazo Azam Media kujiweka pembeni kutokana na kushindwa kwenye kesi...
Wamarekani kuwekeza kwa vijana kikapu SHIRIKISHO la Kikapu Tanzania (TBF) na Taasisi ya Kimataifa ya iCARRe Foundation kutoka Marekani zimeingia mkataba wa miaka miwili utakaosimamia maendeleo ya kikapu kwa vijana.
Azam FC kwenye mtihani mzito Zanzibar MACHO na masikio ya mashabiki wa soka nchini yanaelekezwa katika mchezo wa Dabi ya Mzizima kati ya Azam na Simba utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa New Complex Amaan Zanzibar kuanzia saa 2:30...
Aziz Andabwile afichua mipango Yanga Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini na tahadhari...