Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24514 results for tanzania :

  1. Mlandizi Queens imekuja kuwashika!

    MLANDIZI  Queens ni miongoni mwa timu zenye umaarufu na historia kubwa nchini mbali ya Simba Queens na Yanga Princess, ikiwa imeshatwaa ubingwa wa Tanzania msimu wa 2016/17 na kutoa...

  2. KIJIWENI: Mastaa wa Morocco na rekodi za kusisimua kimataifa

    MOROCCO kwa sasa inakamilisha maandalizi ya fainali za 35 za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika kuanzia Jumamosi ya Januari 5-26, mwakani.

  3. PRIME Huu ndiyo ukweli wa jina Debora

    KWA sasa katika Ligi Kuu Bara, moja ya majina yanayoimbwa sana ni Debora Fernandes Mavambo, huku jina hilo likiacha maswali kwa mashabiki wa soka.

  4. KINAPIGWA TENA: Ni wikiendi ya KO ya Mama Dar

    UHONDO wa ngumi unaweza ukadhani umesimama. Hapana. Licha ya sasa kutokuonyeshwa kwenye runinga kama awali baada ya Kampuni ya Azam Media kujitoa, lakini huko kitaa kinapigwa haswa.

  5. Fatuma: Yote haya sababu ya Kaseja

    NI nadra kuona makocha wa makipa wa kike katika timu za wanaume ila kwa Tanzania tumebarikiwa kumuona, Fatuma Omary wa JKT Tanzania anayetimiza vyema majukumu yake uwanjani, huku...

  6. Kikapu taifa kuunguruma Dodoma

    Shirikisho la Kikapu Tanzania (TBF) limesema timu 16 zinatarajia kushiriki katika mashindano ya Ligi ya Kikapu ya Taifa (NBL) kuanzia Novemba, mwaka huu katika viwanja vya Chinangali mjini...

    TBF Pict
  7. Prisons yafufuka Ligi Kuu ikiizima Fountain Gate

    Baada ya kusota katika mechi tano mfululizo bila ya ushindi, hatimaye Tanzania Prisons imeona mwezi kwa kuonja pointi tatu za kwanza kwa kuikanda Fountain Gate mabao 3-2. 

    Mbeya Pict
  8. Kaya atua Singida Black Stars

    UONGOZI wa Singida Black Stars umemalizana na aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Namungo, Omar Kaya ambaye amejiunga na timu hiyo kuongeza nguvu katika uongozi akipewa nafasi ya makamu mwenyekiti.

  9. PRIME Ateba: Siri ya Simba ni hii tu

    Simba SC imeanza msimu wa 2024/2025 kwa kishindo ikilinganishwa na msimu uliopita, ikiwa imecheza mechi sita na kuonyesha kiwango bora licha ya kuwa na wachezaji wapya 14 kwenye kikosi chao. ...

  10. Samatta arudishwa Stars kuivaa DR Congo

    KAIMU kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Hemed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki katika maandalizi ya michezo miwili ya kuwania nafasi ya kufuzu fainali za Mataifa ya...

Previous

Page 192 of 2452

Next