Mashabiki Simba Mwanza waimaliza Al Ahly mapema Mwanza. "TUMECHOKA kuishia robo." Ndiyo kauli ya mashabiki wa Simba jijini Mwanza ambao wamefunga safari kwenda Dar es Salaam kuipa nguvu timu hiyo katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi...
Beki Mganda afichua siri za Aucho WAKATI Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho akirejesha tabasamu kwa mashabiki wa timu hiyo, beki wa Kagera Sugar na timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’, Disan Galiwango amefichua siri ya ubora wa staa...
Singida pointi sita tu freshi USHINDI wa mabao 2-1 iliopata ugenini mbele ya Ruvu Shooting, umempa nguvu Kocha wa Stand United, Hassan Mzenji akisema wanahitaji pointi sita ili kubaki kwenye ligi. Timu hiyo ina mechi mbili...
Kocha Tabora United atema cheche Kocha mpya wa Tabora United, Denis Goavec amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutua klabuni hapo juzi na kutema cheche akisema yeye ni mtu wa matokeo mazuri na hataki kutibuliwa kibarua...
Mrithi wa Goran Tabora huyu hapa WAKATI wowote Tabora United itamtangaza kocha Denis Goavec kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukua nafasi ya Goran Kopunovic ambaye mkataba wake umesitishwa mchana wa leo.
Tabora United yamtimua kocha Goran “Tabora United inamshukuru kocha Goran kwa utumishi wake tangu alipojiunga na timu na hivyo inamtakia kila la heri huko aendako.”
Goti lamliza beki Kagera, ahofia namba Beki wa Kagera Sugar, Datius Peter amesema maumivu ya goti aliyopata na kumweka nje yamemvurugia mipango yake msimu huu kwani yamemtoa kwenye ubora na sasa anahofia namba kikosini.
7G yaipa Biashara United jeuri kwa Mbeya Kwanza USHINDI mnono walioupata Biashara United juzi dhidi ya Ruvu Shooting, umeongeza nguvu na morali kikosini humo, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah akiipigia hesabu Mbeya Kwanza. Biashara...
Julio amwaga tambo Singida Fountain Gate "Kazi kubwa tuliyokuwa nayo ni kuwajenga kisaikolojia na kufanya uhamasishaji kwa sababu tukisema tumefanya nao kazi kubwa sana ndiyo maana tumepata ushindi utakuwa ni uongo." - Julio
Zahera alia na kina Kagere, Kabunda Zahera alisema ukizitoa Simba na Azam ambazo zilitengeneza nafasi 12 na kulifikia lango la Yanga mara nyingi hakuna timu nyingine zaidi ya Namungo iliyofanya hivyo kwani wao walitengeneza nafasi...