Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24552 results for tanzania :

  1. PRIME MZEE WA FACT: Treni inavyookoa timu za Tabora

    Tabora United, warina asali kutoka mjini Tabora, wamefanya lile ambacho wengi wameshindwa kukifanya katika soka la nyumbani, kwa takribani miaka mitano sasa.

  2. Mwambusi aliyebeba hatma ya Wagosi

    LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kwa muda wa kama wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa mechi za kimataifa za timu za taifa, huku zikiwa zimeshachezwa jumla ya mechi 81 na kufungwa mabao 164.

    Mwambusi Pict
  3. SIO ZENGWE: Hamasa ya Stars imepotea na thamani yake

    WAKATI Mbrazili Marcio Maximo akiwa kocha wa Tanzania, kulikuwa na hamasa kubwa kutoka kwa wananchi kwa timu yao ya taifa ya soka baada ya miaka mingi ya kutothaminiwa.

    Zengwe Pict
  4. PRIME Simba, Yanga lolote litatokea

    VIKOSI vya Simba na Yanga zilizotinga hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa sasa viko katika mawindo kwa michezo ya awali ya hatua hiyo itakayopigwa...

    Wakongwe Pict
  5. Chama la Mtanzania laitandika Mamelodi CAF

    CHAMA la Mtanzania, Hasnath Ubamba anayekipiga FC Macar ya Misri limeichapa Mamelodi Sundown Ladies bao 1-0 mchezo wa kwanza wa makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

    CAF Wanawake Pict
  6. Fadlu aanza kupitia faili la Waangola

    KIKOSI cha Simba kinaingia kambini kuendelea na mazoezi kujiandaa na mechi za kimataifa kwa wachezaji ambao hawakuitwa katika timu za taifa, huku kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids akiweka wazi...

    Fadlu Pict
  7. Tanzania yatota Uganda ligi ya dunia T50

    MAMBO ni magumu kwa Tanzania katika ligi ya dunia kwa Kriketi ya mizunguko 50 baada ya kipigo kikubwa cha mikimbio 209 kutoka kwa wenyeji Uganda, katika Uwanja wa Lugogo, jijini Kampala...

    T20 Pict
  8. Mtengwa aeleza ushindani Uganda

    KINDA la zamani la Yanga U-20, Isack Mtengwa amesema licha ya kucheza kwa mkopo Wakiso Giants ya Uganda lakini wanapata uzoefu wa kimataifa.

    Mtengwa Pict
  9. Warundi wamo, sasa ni nchi tano Guru Nanak

    DEREVA kutoka Burundi, Imtiaz Din na msoma ramani wake Allen Rukundo ndiyo ingizo jipya katika mbio za magari za Guru Nanak zitakazofanyika Arusha Novemba 16 na 17 mwaka huu.

    nanak Pict
  10. Masaka aumia, Brighton hoi

    NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Aisha Masaka anayekipiga Brighton ya Ligi kuu ya Wanawake England, amepata majeraha ya bega yaliyomlazimu kutolewa uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Arsenal wa...

    Masaka Pict
Previous

Page 185 of 2456

Next