Chama apiga mkwara KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chama amesema msimu ujao timu yao itakuwa katika kiwango bora kulingana na maandalizi ambayo wamekuwa wakiyapata Misri, lakini akasema kwa Mkapa pia...
Zoran: Simba sasa imeiva, apitia mikanda ya Mayele ZIKIWA zimebaki siku 10 kabla ya Simba na Yanga kukutana kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kocha wa Simba, Zoran Maki amekisuka kikosi...
Sbai: Zrane kanileta Simba UNAMKUMBUKA yule kocha wa viungo Mtunisia ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki wengi wa wa Simba katika ufanyaji wake wa kazi. Si mwingine bali ni Adel Zrane. Zrane ni miongoni mwa makocha...
Kocha Simba achekelea ratiba Ligi Kuu Kocha wa Simba, Zoran Maki amesema ratiba ya Ligi Kuu Bara imekuwa rafiki kwao kutokana na kucheza mechi tatu za kwanza katika uwanja wa nyumbani ambao upo na mazingira mazuri haswa eneo la...
Okrah aionya Yanga MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Augustine Okrah ametoa kauli ambayo ni onyo tosha kwa wapinzani wa timu hiyo kwenye Ligi Kuu Bara wakiwamo mabingwa watetezi Yanga.
Phiri, Bocco wote freshi tu ACHANA na maneno ambayo yanaendelea huko mitaani, katika vijiwe vya soka ikiwemo vile vya kidigitali kuwahusu wachezaji watatu wa Simba waliopo huku kambini Misri. Wachezaji hao ni nahodha John...
Zoran: Simba imeiva kinoma, apata video za Yanga KOCHA wa Simba, Zoran Maki amesema kwa muda wa wiki mbili walizofanya maandalizi hapa Ismailia Misri kuna mabadiliko makubwa katika kikosi chake tofauti na msimu uliopita au alivyokikuta wakati...
Watano Simba wakwama KOCHA wa Simba, Zoran Maki amesema kwa muda wa wiki mbili walizofanya maandalizi hapa Ismailia Misri kuna mabadiliko makubwa katika kikosi chake tofauti na msimu uliopita au alivyokikuta wakati...
Simba kama Ulaya ACHANA na ambavyo wanaishi kishua wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa Simba kwenye hoteli ya nyota tano Mercure hapa Ismailia Misri iliyopo pembezoni mwa fukwe ya bahari.
Simba inatoa kitu huko Misri mjiandae NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kulingana na maandalizi yao yalipotokea wiki mbili zilizopita hadi wakati huu mambo yote yanakwenda vizuri kama walivyokuwa wakihitaji.