Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Stand United, Copco tiketi iko Kambarage

    Mwanza. BAADA ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United, Copco imesema inaenda kumaliza dakika 90 za marudiano ikihitaji sare au ushindi ili kujihakikishia kubaki salama kwenye Championship...

  2. Pamba yavunja kambi, bodi yaachiwa msala

    KIKOSI cha Pamba Jiji kilivunja kambi yake juzi (jumatano) wachezaji na benchi la ufundi wakipewa mapumziko na kuruhusiwa kuondoka, huku hatima ya kinachofuata ikiachiwa bodi ya klabu hiyo.

  3. Copco yashinda, yasaka  sare kubaki Championship

    Mwanza. COPCO FC imeanza kwa ushindi nyumbani ili kubaki Ligi ya Championship kwa kuifunga Stand United ‘Chama la Wana’ mabao 2-0 huku ikihitaji sare katika mchezo wa marudiano ili kubaki kwenye...

  4. Kocha Singida na matumaini kusalia Ligi Kuu, amfungia kazi Kyombo

    BAADA ya kuiongoza kwa mara ya kwanza na kuipa ushindi Singida Fountain Gate, kocha wa timu hiyo, Ngawina Ngawina amesema kwa sasa hesabu ni kuibakiza Ligi Kuu, huku akichora ramani ya mechi tano...

  5. Singida FG yajipata, Kyombo atakata Kirumba

    Ushindi huo ni wa kwanza tangu Machi 16, mwaka huu ilipoifunga Namungo bao 1-0, ambapo imecheza dhidi ya Azam, Mtibwa Sugar, Yanga, Namungo, Mashujaa na Dodoma Jiji katika dimba hilo

  6. Singida FG, Dodoma vita ya kukwepa playoff, Ngawina asaka ushindi wa kwanza

    KESHO Singida Fountain Gate itaialika Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kuanzia saa 10:00 jioni, huku timu hizo zikipambana kumaliza katika...

  7. Mambo matano yaliyoirejesha Pamba Ligi Kuu

    Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1 na kutimiza ndoto iliyosubiriwa kwa...

  8. Pamba yaanza mabalaa, maandalizi Ligi Kuu Bara 2024\2025

    Achana na shangwe la kupanda Ligi Kuu Bara linaloendelea jijini hapa, mabosi wa Pamba Jiji tayari wameshapata pa kuanzia wakati wakipiga hesabu za mambo watakayoanza nayo msimu ujao.

  9. Mtanda azikataa Simba, Yanga ndani ya Pamba

    Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na mlezi wa timu ya Pamba Jiji, Said Mtanda amesema hatamvumilia mtu yeyote atakayeingiza U-Simba na U-Yanga ndani ya timu hiyo itakapokuwa inacheza mechi zake za...

  10. Pamba yasimamisha Jiji, yapokelewa kishujaa Mwanza

    Mwanza. USIPIME! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mapokezi makubwa iliyoyapata Pamba Jiji leo baada ya kupanda daraja kwenda Ligi Kuu Bara mwishoni mwa wiki iliyopita ikivunja mwiko wa miaka...

Previous

Page 17 of 71

Next