PRIME Kocha Yanga amshangaa Aziz KI, afunguka jambo zito Imekuwa ni mazoea watu wanaoana huwa na siku 7 za kukaa fungate kwa ajili ya kusherehekea kutimiza ibada hiyo ya ndoa, lakini kwa nyota wa Yanga, Stephane Aziz Ki ni kama suala hilo halipo...
PRIME Huyu Camara ana balaa KIPA wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ ameendelea kuthibitisha thamani yake tangu aliposajiliwa na Wekundu wa Msimbazi hao, huku akiwapa furaha mashabiki wa klabu hiyo.
Coastal Union wajiandaa kurudi Mkwakwani WAKATI wowote Coastal Union inaweza kuishtua Simba ikipanga kuhamisha mchezo huo wa Ligi Kuu utakaopigwa Machi Mosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga.
PRIME AZIZ KI - Usupastaa uwanjani hadi kwa Hamisa Mobetto JANA usiku ilikuwa ni sherehe ya kupongezwa Hamisa Mobetto aliyefunga ndoa na Stephane Aziz KI, Jumapili iliyopita na kuwaacha midomo wazi mashabiki waliokuwa hawaamini kama wataoana.
PRIME Kocha wa Diarra avunja mkataba Yanga, sababu yatajwa WAKATI hali ikiwa si shwari kwa kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra kutokana na kufungwa mabao mepesi hivi karibuni yanayoonekana yanatokana na makosa binafsi, kocha aliyekuwa akimnoa ndani...
PRIME Vita ya ubingwa, Fadlu aishtukia Yanga SIMBA inashuka uwanjani ugenini Jumatano hii dhidi ya Namungo kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara lakini Kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids kuna ishu kaishitukia kuhusu watani wao wa jadi, Yanga.
Ali Kamwe afichua siri yake na Mobetto NDOA ya mastaa wawili, wa soka Stephane Aziz KI na mfanyabiashara na mjasiriamali, Hamisa Mobetto bado imebaki vichwani mwa watu, wengi wakiendelea kuwapongeza kutokana na kufanikisha jambo hilo...
Staa Kagera Sugar agomea mkataba mpya KAGERA Sugar inaendelea kupambana kujiepusha kushuka daraja Ligi Kuu Bara, lakini katika vita hiyo, ikashtukia uwezo wa staa wa timu hiyo, Peter Lwasa wakitaka kumuongezea mkataba mpango ambao...
Dua Said asimulia balaa la usajili wa Wawa Simba STAREHE na maisha ya kifahari ni baadhi ya mambo yanayohusishwa na wachezaji wa soka maarufu duniani.
Kivumbi cha Ligi Kuu: Azam V Mashujaa, Pamba Jiji na Wagosi RAUNDI ya 19 ya Ligi Kuu inaendelea tena leo kwa mechi mbili, moja ikipigwa mapema saa 8:00 mchana na nyingine itakayopigwa saa 1:00 usiku, hii ni baada ya mchezo kati ya Simba dhidi ya Dodoma...