Utamu wa Ulaya.. Man United, Arsenal ni vuta nikuvute A. Højlund alipitia katika kituo cha kukuza vipaji Copenhagen na kutoboa kwenye soka la ushindani. Wakati anakipiga Copenhagen ya wakubwa alifunga mabao matano kwenye michuano ya UEFA Europa...
PRIME Dabi ya makipa .” Hawa wana nafasi Beki wa zamani wa Yanga, Oscar Joshua anaipa nafasi timu hiyo kuondoka na pointi tatu, akitaja sababu ni aina ya kikosi bora ilichonacho. “Yanga ipo imara kila sehemu...
Kariakoo dabi zaidi ya pointi tatu ,"alisema Kinyondo. Wakati huo huo upande wa mchumi, Oscar Mkude alisema mpira wa miguu nje ya burudani kwa sasa ni biashara na ndio maana uwekezaji mkubwa. Mkude alisema mpira ni...
Kennedy Juma aaminiwe ana kitu! SIMBA ni moja ya klabu ambazo makocha huwa hawadumu. Spidi ya makocha kuingia na kutoka ni ya hali ya juu. Napata shida sana kuelewa kwanini beki Kennedy Juma siku zote anaanzia benchi. Napata...
PRIME Mashabiki wamjibu Robertinho KATIKA toleo la juzi Alhamisi, mchambuzi wetu Oscar Oscar aliandika uchambuzi uliokuwa na kichwa cha habari “Kwa Bocco... Robertinho aache kutudanganya”. Mashabiki kupitia namba yetu...
UCHAMBUZI: Kwa Bocco, Robertinho aache kutudanganya NI mechi 21 Sasa tangu Kocha Robertinho aanze jukumu la kukiongoza Kikosi cha Simba SC. Hajapoteza mchezo wowote ndani ya dakika 90. Ni Mbabe kweli kweli. Anastahili heshima japo kuna muda...
Siri ya makali ya Azizi KI MPAKA mseme, bado hamjasema. Moja kati ya wachezaji bora wa ligi yetu kwa sasa ni Stephen Aziz KI. Karibu kila kitu anachofanya uwanjani kinageuka kuwa madini. Karibu kila kitu anachofanya...
Huko First League ni kivumbi na jasho wakishinda idadi hiyo dhidi ya Alliance FC, mabao ya wakusanya kodi hao yakiwekwa wavuni na Husein Kaoneka dakika ya 20 na Oscar Tarimo dakika ya 29. Tanesco nao wakiwa ugenini walifanya...
PRIME Sio matokeo mazuri, lakini sio matokeo mabaya HAKUNA siku ambayo Simba imepelekewa moto katika Uwanja wa Benjamini Mkapa kama mechi ya juzi na Mafarao wa Kaskazini katika dakika 45 za kwanza. Al Ahly walikuwa kwenye ubora wao. Walifanya...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Taifa Stars ni mali ya mtu binafsi? Stars sio mali ya TFF, ni mali ya Watanzania. TFF wanapaswa kuwaheshimu sana Watanzania. Kocha wetu Adel Amrouche anapswa kuambiwa ukweli na mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Oscar Mirambo...