Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Pamba Jiji yaonywa mapema Ligi Kuu Bara

    MAANDALIZI ya Pamba Jiji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao wa mwaka 2024/2025 yanazidi kushika kasi, huku mastaa wa zamani na makocha wakiionya kufanya usajili wa kukurupuka utakaoisababisha...

    Pamba Pict
  2. Biashara, Tabora Utd lazima kieleweke

    Kesho itajulikana ni nani atacheza Ligi Kuu Bara msimu ujao kati ya Biashara United ya Mara na Tabora United, ambazo zitamenyana katika mchezo wa marudiano kuwania kucheza ligi hiyo, kwenye...

  3. Kagera Sugar inataka wapya 10

    KAGERA Sugar inajipanga kuboresha kikosi chake kwa kupitisha panga kali ili kufanya vizuri msimu ujao, huku benchi la ufundi chini ya Fredy Felix ‘Minziro’ likipendekeza kuletewa wachezaji wapya 10.

  4. Staa Simba afumua kikosi

    NYOTA wa zamani wa Simba, Mnenge Suluja amempongeza Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa kuwawajibisha wajumbe wa bodi baada ya timu hiyo kufanya vibaya, huku akishauri kikosi...

  5. Baada ya ndoo, Simba yataka unbeaten WPL

    LICHA ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) akiwa na mechi mbili mkononi, kocha wa Simba Queens, Mussa Hassan Mgosi, amesema taji halitoshi, kwani kiu waliyonayo ni kumaliza msimu bila...

  6. TWFA Mwanza yapata mabosi wapya

    SOPHIA Tigalyoma amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Soka la Wanawake (TWFA) Mkoa wa Mwanza akimbwaga aliyekuwa mtetezi wa kiti hicho Sophia Makilagi.

  7. Alliance kutibua sherehe za Simba!

    LIGI Kuu ya Wanawake inaendelea leo baada ya kusimama tangu Mei 14, mwaka huu, huku Simba Queens ikihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa huo ambao waliukosa msimu uliopita mbele ya JKT Queens.

  8. Geita bado haiamini, waitana fastaa

    BAADA ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu msimu huu na kuwa na ukimya kwa takribani wiki moja, uongozi wa Geita Gold umesema umeamua kutulia kwa sasa na kujikita kufanya vikao vya ndani ili kuja na...

  9. Biashara United yakaa mguu sawa Bara

    WAKATI ikisubiri kumjua mpinzani wake kwenye mchezo wa mtoano kucheza Ligi Kuu, Biashara United imeanza kujifua kuweka utimamu, mbinu na saikolojia sawa ili kuwa tayari kwa pambano hilo.

  10. Ngawina anogewa Singida FG akiwatega mabosi

    BAADA ya kuiokoa Singida Fountain Gate isishuke daraja, Kocha Mkuu wa muda wa timu hiyo, Ngawina Ngawina amenogewa akisema msimu wa kwanza akifundisha timu ya Ligi Kuu umempa funzo kubwa huku...

Previous

Page 15 of 71

Next