Yanga yaweka wazi dili la Fei Toto Azam KLABU ya Yanga imetangazo mapata ya mauzo ya wachezaji waliyowapata msimu uliyopita huku mchezaji aliyeuzwa ni kiungo Feisal Salum Yanga ilimuuza Feitoto kwa Azam FC kwa dau lililofichwa kwa...
Simba yaongoza kwa 'Thank you' SIMBA yaongoza kwa 'Thank you'kwenye msimamo wa Ligi ya mitandaon iikifikisha idadi ya watu 12 huku ikufumua kikosi kwaajili ya msimu ujao.
Namungo yaanza usajili kwa kiraka wa Simba Simba jana iliachana na mchezaji kiraka Erasto Nyoni baada ya mkataba wake kumalizika. Simba inaendelea kupunguza wachezaji ili kusaka wapya kuziba nafasi hizo , leo Namungo wameiwahi saini yake...
Akpan: Kucheza Simba kumenifanya niwe imara, jasiri Uongozi wa Simba ilitangaza kuachana na kiungo Mnigeria Victor Akpan ambaye alijiunga na timu hiyo Julai 2022 kutoka Coastal Union,kwa mkataba wa miaka miwili. Akpan ametumikia mkataba wake kwa...
Ambundo awaaga wananchi, akitoa ujumbe wa hisia Yanga ikiendeleza 'Thank You' jana imeachana na winga Dickson Ambundo ikiwa inafumua kikosi kwa ajili ya msimu ujao.
PRIME Aucho ashinda tuzo ya mchezaji bora Kiungo wa kimataifa anayekipiga klabu ya Yanga, Khalid Aucho ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka nchini Uganda inayotolewa na mtandao wa Pulse Sports wa nchini humo. Aucho kwenye tuzo hiyo...
PRIME Simba mwendo wa kimyakimya MABOSI wa Simba wanaendelea kufanya usajili wa kimya kimya kutekeleza mapendekezo ya benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Roberto Oliveira 'Robertinho' aliyepo mapumziko kwao Brazili...
PRIME Mayele atua nchini Nabi akisepa Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ametua nchini leo Juni 20 akitokea kwenye majukumu ya timu ya taifa DR Congo. Mayele alifunga bao katika ushindi wa DR Congo 2-0 ikiifunga Gabon ametua...
PRIME Mbeya City vs Mashujaa Juni 24, kiingilio bure Mechi ya marudiano hatua ya mtoano kutafuta timu itakayocheza Ligi Kuu na Championship msimu ujao kati ya Mashujaa na Mbeya City itapigwa Jumamosi Juni 24. Ofisa wa Habari Bodi ya Ligi Kuu...
Hawa hapa mastaa Ligi Kuu waliofuzu Afcon 2023 Mastaa wanaokipiga Ligi Kuu Bara wamewakilisha vyema timu zao za Taifa katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zitakayofanyika mwakani nchini Ivory Coast. Ligi...