Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

721 results for Nevumba Abubakar :

  1. Mynaco: Kufunga, kuzuia mbona kawaida tu

    KIUNGO wa Zed FC ya Misri, Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema kufunga na kuzuia kwake ni kawaida sana ndio maana anasifika kwa jambo hilo.

    MYNACO Pict
  2. Kocha Simba Queens atoa neno

    KOCHA Mkuu wa kikosi cha Simba Queens, Yussif Basigi amesema timu hiyo inapaswa kuwa makini na michezo iliyosalia ya Ligi Kuu ya Wanawake.

    Simba Q Pict
  3. Selemani Mwalimu mdogo mdogo Wydad AC

    LICHA ya kutopata nafasi kwenye kikosi cha Wydad AC, mshambuliaji wa Kitanzania, Selemani Mwalimu ‘Gomez’ ameanza kuingia kwenye mfumo wa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco.

    MWALIMU Pict
  4. Msewa anavyoikomboa Trabzonspor

    KIUNGO Mtanzania, Diana Msewa anayekipiga Trabzonspor inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Uturuki amekuwa mkombozi kwenye kikosi hicho tangu asajiliwe msimu huu akitokea Amed SK.

    MSEWE Pict
  5. Huyu ndiye mmiliki wa wimbo ‘Halal’

    HALAL ni kati ya nyimbo zinazofanya vizuri nchini hasa kwenye kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan kutokana na kuwa katika mahadhi fulani ya Kiarabu.

    HALAL Pict
  6. Yanga ilivyotumia miaka mitatu kuifunga Simba

    JUZI Machi 19 ilikuwa furaha kwa mashabiki wa Yanga Princess baada ya kumfunga mtani wao, Simba Queens bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL).

    DABI Pict
  7. TFF yaufungulia uwanja wa CCM Kirumba

    SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limeufungulia Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza baada ya kufanyiwa marekebisho.

  8. MGAYA: Kutoka uarabuni hadi Ligi Kuu Bara

    WAKATI mwingine unapokumbana na changamoto inapaswa kuigeuza kuwa fursa.Ndivyo anavyosema mshambuliaji wa Coastal Union, Mgaya Ally.

  9. Haikuwa na kipengele! Yanga Princess yaipiga Simba Queens

    YANGA Princess imemaliza ubabe wa Simba Queens baada ya kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa leo Machi 19, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar.

  10. Mambo matano ya kuamua Dabi ya Kariakoo

    KESHO saa 10:00 za jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam itashuhudiwa Dabi ya Wanawake kati ya Simba Queens ambao ni wenyeji wa mchezo huo ikiikaribisha Yanga Princess.

    DABI Pict
Previous

Page 12 of 73

Next