SPOTI DOKTA: Yanga vs Simba, sababu hizi mashabiki hawakuzimia WIKI hii gumzo kubwa lililotawala ni mechi ya watani wa jadi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga uliochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini...
SPOTI DOKTA: Sababu kifo cha pacha wa Ronaldo WIKI iliyopita mshambuliaji Cristiano Ronaldo wa Manchester United alitoa taarifa ya kujifungua kwa mchumba wake Georgina Rodriguez, lakini bahati mbaya pacha wa kiume alifariki dunia.
SPOTI DOKTA: Fahamu majeraha aliyopata Feitoto LEO, Aprili 7 ni siku ya afya duniani. Siku hii ya kimataifa huadhimishwa kila mwaka. Mwaka huu ikiwa na kaulimbiu ya ìsayari yetu afya yetu.” Kwa upande wa kona yetu ya Spoti Dokta tutalipiga...
SPOTI DOKTA: Joto hili Pwani tishio kwa wachezaji NI mchana uko katikati ya jiji la Dar es Salaam joto liko juu ukiwa katika msongamano pengine unatembea tu unajikuta ukitokwa jasho jingi na baadaye kukupa kiu kali ya maji. Kumbuka hapo...
Kilichomkosesha Ronaldo derby ni hiki UAMUZI wa Kocha Ralf Rangnick kutomjumuisha Cristiano Ronaldo katika mchezo wa Manchester Derby uliochezwa Jumapili uliwastua wengi ikiwamo wachezaji na mashabiki wa klabu hiyo.
Kumwadhibu zaidi Zouma ni mbaya kiafya WIKI iliyopita habari kubwa katika Ligi Kuu England (EPL), ilimhusu beki wa kati wa klabu ya West Ham, Kurt Zouma ambaye video iliyosambaa mitandaoni ilimwonyesha akimpiga teke paka wake na...
SPOTI DOKTA: Tizi na misosi ndo mpango mzima kudhibiti ubonge HIVI karibuni tuliona straika wa Chelsea, Romelu Lukaku alivyokuwa bonge kiasi cha kukejeliwa, lakini akapambana na kufanikiwa kupata mwonekano mzuri tofauti na ule wa awali.
Dk Cugat ndiye Messi wa tiba ya wanasoka duniani NYOTA wa PSG na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji bora kuwahi kutokea duniani akiwa na kipaji cha hali ya juu cha kucheza soka na hatimaye kuweza kuibuka Mwanasoka...
Ligi za ulaya na mapumziko ya kijanja TUKIWA ndani ya wiki ya kwanza Januari 2022 tuliona ligi kubwa tano za Ulaya zikiendelea na utamaduni wa mapumziko ya kijanja ya kati ya Desemba na Januari. Ni kawaida kwa ligi kubwa za Ulaya...
Sababu za Barbara kukasirika ni hizi JUMAMOSI iliyopita ilikuwa siku ya mechi ya watani katika Ligi Kuu Bara maarufu kama Kariakoo Derby iliyozikutanisha Simba na Yanga. Timu hizi zilitoka suluhu hali inayofanya mtaani kuwe shwari.