Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

685 results for Victoria Melkiad :

  1. Yacouba Sogne ndo basi tena

    MAJERAHA yamekiweka rehani kibarua cha staa wa zamani wa Yanga, Yacouba Sogne baada ya upasuaji wa goti nchini Morocco kukamilika kwani amesema anakwenda kwao Burkina Faso ili kujiuguza na...

    YACOUBA Pict
  2. PRIME Aucho, Camara hali tete Yanga, Simba

    NYOTA wawili muhimu katika vikosi vya Yanga na Simba, kiungo Khalid Aucho na kipa Moussa Camara wameibua hofu katika timu hizo kutokana na pancha zao.

  3. PRIME Kocha Al Masry ataja ugumu Simba

    SIMBA inaendelea na hesabu zake ikijiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kocha wa wapinzani Anis Boujelbene, ameliambia Mwanaspoti kikosi chake kipo kwenye mtego...

    MANDONGA Pict
  4. Kocha Azam akomaa na mastaa wake

    KOCHA wa Azam FC Rachid Taoussi, amesema timu yake inapitia kipindi kigumu na bado wana nafasi ya kurudisha utulivu ili kupata matokeo mazuri.

    KOCHA Pict
  5. PRIME Mnguto: CAF imetuacha na makovu Coastal Union

    JUZI ilikuwa sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Mwanaspoti na Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto na alizungumzia mambo mbalimbali ya uongozi wake ndani ya bodi hiyo, ishu...

    MNGUTO Pict
  6. Fitinesi ya mastaa Tabora yamshtua Mzimbabwe

    TABORA United imeshaanza maisha mapya na kocha wao mpya, Genesis Mangombe na jamaa ameshashtukia mambo fasta ndani ya kikosi chake.

    TABORA Pict
  7. PRIME VIDEO: Mnguto afichua ishu ya Yanga ilivyokuwa pasua kichwa

    HUWEZI kutaka kuyazungumzia maendeleo ya Soka la Tanzania kama hutagusia mamlaka ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) ambayo kimsingi ndio husimamia ustawi wa karibu ligi zote Tanzania.

  8. PRIME Kocha amchomoa Nouma Simba

    KUNA mambo mawili ameambiwa beki wa kushoto wa Simba, Valentine Nouma na kocha wake ayafanyie kazi, huku kubwa zaidi akitakiwa kuchukua uamuzi wa kuondoka kikosini hapo.

    NOUMA Pict
  9. Dakika 180 za moto KenGold

    KENGOLD bado inapasua kichwa ikitaka kubaki Ligi Kuu Bara, lakini imezitaja mechi mbili zinazoweza kuwa kikazo kwao ambazo ni dhidi ya ni Simba na Azam FC.

    180 Pict
  10. Rekodi za Bocco Azam FC zinaishi

    REKODI alizoacha John Bocco pale Azam FC, zimemfanya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’, kumtaja kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote ndani ya kikosi hicho.

    BOCCO Pict
Previous

Page 11 of 69

Next