Vibali vyamweka nje beki Ceasiaa BEKI wa kati wa Ceasiaa Queens, Anita Adongo amesema yuko nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili kwa changamoto ya vibali ambayo huenda akaanza kucheza msimu ujao.
Beki Mtanzania anawaburuza tu Mexico BEKI wa kati wa FC Juarez, Julietha Singano inayoshiriki Ligi ya Wanawake Mexico anazidi kung'ara akiingia kwenye kikosi bora cha wiki.
Masaka kukaa benchi Brighton, tatizo ni hili MECHI mbili za mwisho ilizocheza Brighton baada ya mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masaka kutoka kwenye majeraha ameendelea kusalia kwenye benchi.
Suzy Bale: ‘We Huogopi’ imempa kiwanja, awataja Yanga JINA lake halisi Suzana Ahmad Salum lakini ni maarufu mitandaoni kwa ‘Suzy Bale’.Wapenzi wa mitandao hasa Tiktok na YouTube wanamfahamu vyema kutokana na mbwembwe zake.
Stumai, mtaalamu wa kutikisa nyavu asiye na bahati WPL WAKATI mwingine neno bahati lina maana kubwa kwenye maisha ya mwanadamu. Si kila aliyefanikiwa ametumia nguvu kubwa, wengine ni bahati tu.uyo achukue kiatu msimu huu baada ya kukiwania bila...
Ceasiaa Queens yalia na uchovu LICHA ya Ceasiaa Queens kupata ushindi mnono wa mabao 5-2 dhidi ya Mlandizi Queens wamesema uchovu umewafanya kutokuwa na mchezo mzuri.
Kocha Zambia amtabiria makubwa Mtanzania KOCHA wa Trident FC, Arnold Malisawa amemtabiria mshambuliaji wa Kitanzania, kinda Mourice Sichone atakuja kuwa hatari miaka ya mbele akimtaka aongeze bidii na nidhamu tu.
Kipa Azam amgomea Sadio Mane KIPA wa Azam FC, Mohamed Mustafa alikuwa langoni kulitumikia taifa lake la Sudan na kuambulia pointi moja katika mchezo uliomalizika kwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Senegal iliyokuwa ikiongozwa na...
Esther Chabruma: Ubingwa bado kabisaaa! KOCHA wa JKT Queens, Esther Chabruma amesema msimu huu huenda bingwa akatokea mwisho wa msimu kutokana na ushindani uliopo kwenye ligi hiyo.
Kibwana afichua jambo kuhusu Aziz KI MRATIBU wa Yanga Princess, Kibwana Matokeo amesema kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI amekuwa mtu muhimu kwenye matokeo ya timu hiyo akiwapa sapoti wachezaji wa kike.