Search

26 results for Rukia Kiswamba (SJMC) :

  1. Simba kamili kuivaa Kagera

    KOCHA msaidizi wa Simba, Selemani Matola ameweka wazi kutokuwa na majeruhi ndani ya kikosi chake hivyo wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu kesho Agosti 20, 2022...

  2. Kiiza atonesha kidonda Simba

    NAHODHA msaidizi wa Kagera Sugar Mganda Hamisi kiiza amesema hana hofu na Simba na anatarajia kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wao wa kesho utakaopigwa katika uwanja wa Benjamini mkapa Dar...

  3. Kakolanya arejea Stars kuivaa Uganda

    Kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ‘Taifa Stas’ kitakachoingia kambini Agosti 21, 2022 kwa michezo miwili ya Kufuzu CHAN dhidi ya Uganda.

  4. Mastaa Yanga wapigwa msosi maalumu kambini

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023...

  5. Yanga yaachana na Bumbuli rasmi

    UONGOZI wa klabu ya Yanga umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Ofisa Habari na Mkuu wa Idara ya Habari na mawasiliano wa timu hiyo, Hassan Bumbuli. Taarifa iliyotolewa leo na klabu hiyo...

  6. Mtibwa Sugar kutesti mitambo na Singida BS

    KIKOSI cha Singida Big Stars kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar leo saa 10:00 jioni katika uwanja wa Manungu Complex Turiani, Morogoro. Huu ni mchezo wa pili kwa Singida baada ya...

  7. SIMBA DAY: Mechi zilizopita tamashani

    LICHA ya usajili kushamiri katika kila timu nchini lakini tukio la ‘Simba Day’ linaleta hamasa kwa mashabiki wa Simba kujiuliza kile kitakachotokea siku hiyo. Tamasha hilo hufanyika Agosti 8 ya...

  8. Harmonize kutumbuiza Singida Big Day

    MSANII nyota wa Bongo fleva Harmonize 'Konde Boy' ametangazwa na timu ya Singida Big Stars kuwa atatumbuiza katika tamasha lao linaloitwa 'Singida Big Day' litakalofanyika Agosti 4 2022 katika...

  9. Tanasha Donna atarajia kupata Sh2.3 bilioni

    STAA wa muziki na mwanamitindo kutoka Kenya, Tanasha Donna ameweka wazi kwamba mpaka atakapofikisha miaka 30 atakuwa amepata sh2.3 bilioni kutokana na shughuli anazozifanya mbali na...

  10. Mdamu: Asanteni Watanzania

    MACHOZI hayamiminiki kama mwanzo, ambapo sura yake ilikosa matumaini na kuna wakati alifanya majaribio ya kuondoa uhai wake kutokana na mazito yaliyomfikia maishani mwake. Je, unataka kumjua ni...

Previous

Page 2 of 3

Next