Search

163 results for Mwesigwa Selestine :

  1. NIONAVYO: Tutafute mafanikio michezoni kwa hatua za maendeleo

    MICHUANO ya soka ya Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 inafikia tamati Jumapili kwa mechi ya fainali itakayowakutanisha wenyeji tembo wa Ivory Coast na tai wa kijani wa Nigeria. Baada ya vumbi...

  2. NIONAVYO: Afcon 2023 inafikirisha kuliko kawaida

    MPENDWA msomaji ni kawaida ya safu hii kukupitisha katika masuala mbalimbali ya michezo na utamaduni kwa jicho la uchambuzi. Mara nyingi tumepitia pamoja masuala ya utawala, sheria, masoko...

  3. Vigogo TFF wafunguka ishu nzima ya Amrouche

    Kusimamishwa kwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche kumeibua mitazamo tofauti kwa wadau wakiwamo vigogo wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na makocha...

  4. Taifa Stars kupata kivuno Afcon 2023?

    UHONDO wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 unaendelea baada ya kipyenga cha mwanzo kupulizwa tangu wikiendi iliyopita katika nchi ya Ivory Coast au Cote d’Ivoire, kama...

  5. NIONAVYO: Weledi ni muhimu katika usimamizi wa wanamichezo

    DUNIA ya leo inabadilika kila uchao. Hapo zamani motokaa ilikuwa inatengenezwa na kukamilika katika kiwanda kimoja kiwe ni cha Ford Motors, General Motors na kadhalika. Gari lilitoka kiwandani...

  6. NIONAVYO: Simba, Yanga zipo sana Ligi ya Mabingwa Afrika

    Ni raundi za mwisho kwa mwaka 2023 huku kila kundi likisaliwa na mechi za raundi mbili kuhitimisha hatua hiyo ya makundi ambazo zitachezwa mwakani mara baada ya fainali za Kombe la Mataifa ya...

    New Content Item (1)
  7. NIONAVYO: Dirisha dogo la usajili, linahitaji umakini mkubwa

    DIRISHA la usajili kwa klabu za soka zilizo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linafunguliwa rsmi kesho Jumamosi. Kipindi hiki huitwa dirisha dogo au wengine huita dirisha la majira ya...

  8. NIONAVYO: Robo fainali ya Simba, Yanga bado kitendawili

    MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi inaendelea kwa kuingia raundi ya tatu wikiendi hii, leo kukiwa na mechi tatu ikiwamo ya Yanga itakayokuwa ugenini kuvaana na Medeama ya...

  9. NIONAVYO: Everton FC na shubiri ya nidhamu ya fedha

    KLABU ya Everton inayocheza katika Ligi Kuu ya England imepokwa pointi 10 na kuiporomosha kwenye msimamo wa ligi hiyo maarufu duniani. Everton, moja ya klabu kongwe za Uingereza ikiwa...

  10. PRIME NIONAVYO: Tamu na chungu ya kamari michezoni

    Kamari, upatu, michezo ya kubahatisha, bahati nasibu, kubeti na majina mengine mengi ambayo mwisho wa siku yanarudi kwenye maana moja kuwa ni michezo ya kubahatisha kwa njia ya kubashiri matokeo...

Previous

Page 2 of 17

Next