Search

67 results for Matereka Jalilu :

  1. Kibuta kuanza na Geita, muda wapanguliwa

    MCHEZAJI Mwana Kibuta, hatimaye anatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza katika timu ya Dodoma Jiji dhidi ya Geita Gold kesho Alhamisi, baada ya kupata kibali cha kazi, kiongozi wa juu wa timu...

  2. Joshua ajilipua kwa Fury

    Matchroom, kampuni inayomsimamia Joshua ndio imethibitisha kukubali ofa hiyo leo na wapo tayari kupigana na Fury Desemba 03 baada ya awali kutaka pambano liwe Desemba 17 ambayo ilikataliwa na...

  3. Kilichombeba Usyk kwa Joshua

    ALFAJIRI ya kuamkia juziJumapili, ulimwengu wa masumbwi, ulishuhudia pambano kali la marudiano uzito wa juu (heavyweight), baina ya mabondia Oleksandr Usyk na Anthony Joshua.

  4. Kalambo arudi Dodoma, bado mmoja

    Hatimaye aliyekuwa kipa wa Dodoma Jiji, Aaron Kalambo amerudisha majeshi yake kwenye timu hiyo, akifunga idadi ya makipa watatu wa timu hiyo msimu ujao, ambapo amerejea kutokea timu ya Geita...

  5. Kihimbwa, Kessy nao Dodoma Jiji

    DODOMA Jiji bado haijamaliza usajili! Hii ni baada ya kumnasa winga mshambuliaji, Salum Kihimbwa kutoka kwa "wakata miwa" Mtibwa Sugar.

  6. Opare afungua njia Dodoma Jiji

    HATIMAYE Dodoma Jiji wametambulisha mchezaji wao wa kwanza waliyemsajili katika dirisha la usajili msimu huu, wakimtangaza mshambuliaji Collins Opare kutoka timu ya Biashara United.

  7. Simba, Fountain Princess kumalizana Dodoma

    BAADA ya kumalizana kwenye ubingwa wa Ligi Kuu wanawake msimu uliopita ambao Simba Queens walifanikiwa kuendeleza ubabe, timu za Fountain Gate na Simba Queens zitakuwa na kibarua cha mwisho...

  8. Warriors yabeba taji la NBA, Curry MVP

    MECHI sita pekee zimetosha kwa timu ya Golden State Warriors kuwa mabingwa wapya wa ligi ya kikapu Marekani (NBA), kufuatia kuifunga timu ya Boston Celtics leo Ijumaa kwa pointi 103-90 kwenye...

  9. NBA MVP yaacha gumzo Marekani

    GUMZO kubwa kwa sasa kwenye Ligi ya Kikapu Marekani ni tuzo ya bora (NBA MVP) kuingia faianli bila kuwepo mchezaji raia wa nchi hiyo huku Nikola Jokic wa timu ya Denver Nuggets akitwaa tuzo ya...

  10. Simba vs Dodoma Jiji yabadilishiwa muda

    MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC kati ya wenyeji Simba dhidi ya Dodoma Jiji, uliokuwa uchezwe majira ya Saa 1 Usiku, sasa umerudishwa nyuma.

Previous

Page 2 of 7

Next