Hatua kwa hatua pambano la KO ya Mama Furaha ya Watanzania imeongezeka zaidi baada ya mabondia watano kutwaa mikanda ya ubingwa.
IOC yatoa tamko uchaguzi TOC KAMATI ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) imetoa tamko la uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
SPOTI MIKIKI: Mwaka wa medali, machozi na Jasho Tunajiandaa kuanza mwaka mpya wa 2025, familia ya michezo ya ‘non soccer ‘ itaendelea kuuukumbuka mwaka 2024 unaoelekea ukingoni, katika maeneo matatu ya medali, machozi na jasho.
Tanzania yakumbushwa kujipanga Olimpiki 2028 MAKATIBU wakuu wa vyama vya michezo vinavyoshiriki Olimpiki wametakiwa kuanza kuweka mikakati ya maandalizi ili timu zao ziweze kushiriki kwenye Olimpiki ya 2028.
Simbu akwama Kawata Mlugu akishinda, Nyambui kesho Wakati mwanariadha Alphonce Simbu akikwaa kisiki kwenye uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji (Kawat), Judoka Andrew Thomas Mlugu ametawazwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni hiyo.
TMK Wanaume Halisi, Wanaume Family WOTE Jukwaa moja UNAKUMBUKA ule mtiti wa TMK Wanaume Family ‘Mapanga Shaa’ kabla ya kutengana na kuzaliwa kwa Wanaume Halisi? Sasa unaambiwa makundi hayo yatapanda kwenye jukwaa moja jijini Dar es Salaam...
Mlugu, Simbu kuchuana uenyekiti Kawata, Saliboko ajiengua Nyota wa Riadha, Alphonce Simbu na mwanajudo bingwa wa Taifa, Andrew Thomas Mlugu ni miongoni mwa wagombea watatu wanaochuana kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Wachezaji Tanzania (Kawata).
Uchaguzi TOC wafutwa, Mtaka, Tandau kurudishiwa fedha UCHAGUZI Mku wa Kamati ya Olimpiki uliokuwa ufanyike Desemba 28, umefutwa rasmi na Serikali.
Riadha Pwani yapata viongozi wapya CHAMA cha Riadha Mkoa wa Pwani kimepata viongozi wapya watakaokiongoza kwa miaka minne, akiwamo Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Imani Makongoro.
Wanne wajitosa Urais TOC, yumo Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wagombea wanne waliojitosa kuwania urais kwenye uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).