Ronaldinho, Kaka kukipiga Zanzibar MASHABIKI wa soka Zanzibar na Afrika kwa ujumla, wakae tayari kushuhudia tukio la Kihistoria litakalofanyika Julai 27, 2025, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, kupitia “The Match of the Legends”...
PRIME Mzimu wa RS Berkane bado mtihani kwa Fadlu MIAKA mitatu iliyopita, Fadlu Davids alipitia moja ya siku zenye maumivu kwenye taaluma yake ya ukocha. Mei 20, 2022, akiwa msaidizi wa Mandla Ncikazi katika kikosi cha Orlando Pirates...
Nini kinachoisumbua Azam FC? NI msimu ambao mashabiki wa Azam FC wanataka umalizike haraka. Kuanzia mapema katika Ngao ya Jamii hadi sasa ligi ikielekea ukingoni, kila tumaini limekuwa kama jua la asubuhi lililofunikwa na...
PRIME Hii hapa njia ya Simba kubeba ubingwa CAF, RS Berkane ijipange KWA muda wa zaidi ya miaka 30, mashabiki wa Simba wamekuwa wakisubiri kwa hamu siku ambayo timu hiyo itaandika historia mpya katika ramani ya soka la Afrika. Hatimaye, siku hiyo imefika.
Mamia waipokea Simba uwanja wa ndege mvua ikinyesha MAMIA ya mashabiki wa Simba wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), usiku huu kuwapokea wachezaji waliorejea kutoka Afrika Kusini baada ya kuandika historia...
David Ouma afunguka Singida BS kupotezea Muungano BAADA ya kuaga mapema michuano ya Kombe la Muungano inayofanyika Pemba, Zanzibar, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji kusahau kilichopita na kuelekeza macho kwenye ligi...
PRIME Beki Stellenbosch auogopa mziki wa Mpanzu MECHI ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Stellenbosch dhidi ya Simba itakayopigwa Aprili 27, 2025 kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban nchini Afrika Kusini...
PRIME Simba yapewa refa wa 1-0 Sauzi SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemkabidhi mwamuzi wa kimataifa kutoka Misri, Amin Omar jukumu la kuchezesha mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya...
PRIME Fadlu: Dakika 10 zitaamua, Mpanzu apigilia msumari mchongo wa fainali CAFCC KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, aamesema timu yake itaenda Afrika Kusini kushambulia na kufunga, si kulinda bao moja walilopata nyumbani na kwamba katika dakika 10 za kwanza wataipa Stellenbosch ya...
PRIME Kilichoikwamisha Simba Zanzibar hiki hapa Unakumbuka mwaka 1993 wakati Simba inacheza fainali ya Kombe la CAF ambalo baadaye 2004 likaunganishwa na Kombe la Washindi kisha kuzaliwa Kombe la Shirikisho Afrika? Basi kwa kukukumbusha tu ni...