Search

1142 results for Ramadhan Elias :

  1. Sakata la Kibu kugomea mkataba Simba, udalali watajwa

    Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha...

  2. PRIME Picha la Kibu linatisha, Yanga yachafua hewa

    Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na pesa ipo. Hili picha la wakubwa hao watatu...

  3. PRIME Sakata la Kibu kugomea mkataba Simba, udalali watajwa

    Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha...

  4. Makocha hawa watajwa kumrithi Benchikha Simba

    BAADA ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, timu ya Simba fasta imeanza mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo ikipanga kukamilisha ishu hiyo kabla ya msimu huu...

  5. Tshabalala awaachia msala wazawa Simba

    Simba kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa eneo gumu sana kwa wachezaji wazawa wanaosajiliwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuonyesha ubora. Wengi husajiliwa kisha baadaye...

  6. Simba, Mtibwa lawama njenje

    Baada ya dakika 90 za mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Mtibwa Sugar itakayopigwa kesho Mei 3, 2024 kuanzia saa 10:00 jioni Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam lawama litakuwa jambo...

  7. Simba, Azam vitani tena kunasa saini ya kiungo fundi

    JINA la kiungo Najimu Musa lipo mezani kwa timu za Simba, Azam na KMC huku kila timu ikihitaji saini ya mchezaji huyo kwa msimu ujao. Kiungo huyo mzawa anayekipiga Tabora United ni miongoni mwa...

  8. Aussems: Tatizo Simba ni lilelile

    BAADA ya Abdelhak Bechikha kuachana na Simba kwa kile kilichotajwa ana matatizo ya kifamilia, kocha wa zamani wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema tatizo la Simba ni lile lile. Aussems...

  9. JKT yavuta 20 milioni ikiizamisha Mtibwa

    USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata timu ya JKT Tanzania leo dhidi ya Mtibwa Sugar umewafanya mastaa wa timu hiyo kushinda bonasi ya Sh20 milioni kutoka kwa uongozi wa maafande hao huku ukiididimiza...

  10. Pacome: Nipo fiti, Naumia sana kutocheza

    Mashabiki wa soka nchini wamemisi maufundi ya kiungo wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua aliyekuwa majeruhi, lakini mwenyewe amefunguka kupona na sasa yupo tayari kurejea uwanjani kuendelea...

Page 1 of 115

Next