Simba yalazimishwa sare Amaan Complex, RS Berkane bingwa CAFCC
SIMBA imepoteza kwa mara nyingine fainali ya michuano ya CAF, ikiwa nyumbani baada ya kutoka sare ya 1-1 na RS Berkane ya Morocco na matokeo ya jumla kuwa 3-1, lakini mashabiki wa klabu hiyo...