PRIME Ayoub Lakred, Simba kuna kitu MSIMBAZI kuna kitu kinaendelea chini kwa chini wakati macho ya mashabiki wa Simba yakielekezwa kwenye sakata la dabi, nyuma ya pazia jina la kipa Ayoub Lakred limeanza kuzungumziwa kwenye korido...
PRIME Maswali tata zawadi za Yanga Kombe la FA UKIPITA mitaani kuanzia vijiwe vya kahawa, maskani za bodaboda, na hata katika daladala hadi mitandaoni, mjadala mkubwa ni mvutano uliopo baina ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na Klabu ya...
Mnguto ajiuzulu, Karia amsimamisha Kasongo TPLB Saa chache baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), kupanga tarehe ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba, Mwenyekiti wake Steven Mnguto amejiuzulu.