PRIME Yanga ni Mokwena au Mfaransa MABOSI wa Yanga, wameendelea kufanya yao kimyakimya katika mchakato wa kusaka kocha atakayepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwa msimu ujao huku zoezi hilo likichukua sura mpya baada ya kuamua...
PRIME Yanga yamleta Dar beki wa Mazembe BEKI wa TP Mazembe ya DR Congo, Ibrahim Keita yupo njiani kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Yanga inayompigia hesabu kumsajili kwa kikosi cha msimu ujao.
Kiungo Singida agomea mamilioni SINGIDA Black Stars imeanza harakati za mapema za kumuongeza mkataba mpya, kiungo Morice Chukwu, huku Mnigeria huyo akiwagomea mabosi hao, licha ya kuahidiwa donge nono.