Video Hiki hapa kilichoiponza Yanga kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United Ijumaa, Novemba 08, 2024
PRIME Ile Dabi ya Kariakoo ndo leo! BAADA ya danadana nyingi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo, hatimaye ile siku ndio leo Jumatano na Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, mbivu na mbichi zitafahamika baada ya kipyenga cha...
PRIME Yanga yashusha kiungo, yamficha kambini YANGA wakati inapiga hesabu za kukutana na Simba, imeendelea na akili ya kukiboresha kikosi na kule kambini kuna mido wa kazi amefichwa akijifua taratibu.
PRIME Tuwaombee… Dabi imeshika hatma zao JUNI 25 kinapigwa Uwanja wa Mkapa kati ya Yanga dhidi ya Simba mchezo ambao ulipiga kalenda, lakini sasa hakuna kipengele tena ni lazima kiwake. Mchezo huo weka mbali mambo ya ugumu ulionao...