PRIME Aziz KI achekelea dabi, ataja bingwa Bara MWAMBA wa Burkina Faso, Stephanie Aziz KI tayari ameshaanza kukipiga katika chama lake jipya la Wydad Casablanca alikotua hivi karibuni akitokea Yanga, lakini huku nyuma kaacha kumbukumbu kibao...
Vita ya ubingwa Bara… Simba, Yanga zakabana koo MWENDO wa weka niweke ulikuwa katika mechi za raundi ya 29 za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Jumatano hii ambapo kulikuwa na vita kubwa ya kujitengenezea mazingira mazuri ya kubeba ubingwa na kuepuka...
Fujo zaiponza KVZ, yalimwa faini Sh3 milioni SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limeipiga faini ya Sh3 milioni, KVZ baada ya kubainika mashabiki wake kufanya vurugu katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup) dhidi ya...