Simba v Berkane ngome mpya, historia mpya ugumu uko hapa!
NI Jumapili ya kihistoria Mei 25, 2025. Macho na masikio ya Afrika yapo Zanzibar kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, ambako kutapigwa fainali ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya...