PRIME Ripoti ya jeraha la Dube yashtua MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ya kuahirishwa mara mbili Machi 8 na Juni 15, kuna taarifa ambayo...
MGUNDA: maisha ya DR Congo yalikuwa magumu, lakini nimejifunza INGAWA mshambuliaji Ismail Mgunda hakufanikiwa kucheza kama alivyotarajia katika timu ya AS Vita ya DRC Congo, lakini alidhamiria kukipiga nje ya mipaka ya Tanzania. Hapa anasimulia maisha...
PRIME Aziz KI achekelea dabi, ataja bingwa Bara MWAMBA wa Burkina Faso, Stephanie Aziz KI tayari ameshaanza kukipiga katika chama lake jipya la Wydad Casablanca alikotua hivi karibuni akitokea Yanga, lakini huku nyuma kaacha kumbukumbu kibao...