Usajili Ligi Kuu England wameingia, wametoka

LONDON, ENGLAND. HATIMAYE goma limefungwa! Na makocha wa Ligi Kuu England hawatakuwa na namna yoyote ya kuongeza mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine hadi dirisha litakapofunguliwa Januari mwakani.

Kwa ujumla wake, klabu za Ligi Kuu England zimetumia zaidi ya Pauni 1.8 bilioni kunasa vipaji vipya kwenye vikosi vyao katika dirisha hili. Matumizi yamezidi Pauni 1 bilioni ikiwa ni mara ya kwanza kwenye historia ya usajili kwenye Ligi Kuu England. Mwanaspoti linakuwekea bayana orodha ya wachezaji wote walioingia na kutoka klabu za Ligi Kuu England.


Arsenal

Wameingia: Marquinhos (Sao Paulo, Pauni 3milioni), Fabio Vieira (FC Porto, Pauni 34milioni), Matt Turner (New England Revolution, Pauni 7.5milioni), Gabriel Jesus (Manchester City, Pauni 45milioni), Oleksandr Zinchenko (Manchester City, Pauni 30milioni)

Wametoka: Harry Clarke (Stoke City, mkopo), Omar Rekik (Sparta Rotterdam, mkopo), Tyreece John-Jules (Ipswich Town, mkopo), Mika Biereth (RKC Waalwijk, mkopo), Jordi Osei-Tutu (Bochum, bure), Daniel Ballard (Sunderland, imefichwa), Nikolaj Molller (FC Den Bosch, mkopo), Matteo Guendouzi (Marseille, Pauni 10milioni), Konstantinos Mavropanos (VfB Stuttgart, imefichwa), Alexandre Lacazette (Lyon, bure), Luigi Gaspar (Watford, bure), Remy Mitchell (Swansea City, bure), Zak Swanson (Portsmouth, imefichwa), Auston Trusty (Birmingham City, mkopo), Omari Hutchinson (Chelsea, imefichwa), Marcelo Flores (Real Oviedo, mkopo), Ryan Alebiosu (Kilmarnock, mkopo), Arthur Okonkwo (Crewe Alexandra, mkopo), Nuno Tavares (Marseille, mkopo), Mazeed Ogungbo (Crawley Town, mkopo), Bernd Leno (Fulham, Pauni 8milioni), Folarin Balogun (Reims, mkopo), Charlie Patino (Blackpool, mkopo), Lucas Torreira (Galatasaray, imefichwa), Pablo Mari (AC Monza, mkopo), Runar Alex Runarsson (Alanyaspor, mkopo), Brooke Norton-Cuffy (Rotherham, mkopo), Salah-Eddine Oulad M’Hand (Hull City, mkopo), Nicolas Pepe (Nice, mkopo), Ainsley Maitland-Niles (Southampton, mkopo), Hector Bellerin (Barcelona, bure)


Aston Villa

Wameingia: Philippe Coutinho (Barcelona, Pauni 17milioni), Diego Carlos (Sevilla, Pauni 26milioni), Robin Olsen (AS Roma, Pauni 3milioni), Boubacar Kamara (Marseille, bure), Rory Wilson (Rangers, Pauni 350,000), Ludwig Augustinsson (Sevilla, mkopo), Ewan Simpson (Hearts, Pauni 100,000), Leander Dendoncker (Wolves, Pauni 13milioni), Jan Bednarek (Southampton, mkopo)

Wametoka: Indiana Vassilev (Inter Miami, mkopo), Matt Targett (Newcastle United, Pauni 15milioni), Conor Hourihane (Derby County, bure), Tristan Abldeen-Goodridge (Reading, bure), Paul Appiah (Leicester City, bure), Finley Thorndike (Birmingham City, bure), Lovre Kalinic (Hajduk Split, bure), Trezeguet (Trabzonspor, Pauni 4.25milioni), Kahrel Reddin (Stoke City, imefichwa), Finn Azaz (Plymouth Argyle, mkopo), Viljami Sinisalo (Burton Albion, mkopo), Louie Barry (MK Dons, mkopo), Wesley (Levante, mkopo), Jaden Philogene-Bidace (Cardiff City, mkopo), Carney Chukwuemeka (Chelsea, Pauni 20milioni), Aaron Ramsey (Norwich City, mkopo), Kaine Kesler-Hayden (Huddersfield Town, mkopo), Keinan Davis (Watford, mkopo), Bertrand Traore (Istanbul Basaksehir, mkopo), Kortney Hause (Watford, mkopo), Ben Chrisene (Kilmarnock, mkopo), Anwar El Ghazi (PSV Eindhoven, imefichwa), Tyreik Wright (Bradford City, mkopo)


Bournemouth

Wameingia: Ryan Fredericks (West Ham, bure), Joe Rothwell (Blackburn Rovers, bure), Marcus Tavernier (Middlesbrough, imefichwa), Neto (Barcelona, bure), Marcos Senesi (Feyenoord, imefichwa), Jack Stephens (Southampton, mkopo)

Wametoka: Gary Cahill (ametemwa), Brennan Camp (Eastleigh, bure), Connor Kurran Browne (Hampton & Richmond Borough, bure), Gavin Kilkenny (Stoke City, mkopo), Robbie Brady (Preston North End, bure), Sam Sherring (Northampton Town, fidia), Zeno Ibsen Rossi (Cambridge United, imefichwa), Nathan Moriah-Welsh (Newport County, mkopo), Jake Scrimshaw (Yeovil Town, imefichwa)


Brentford

Wameingia: Aaron Hickey (Bologna, Pauni 17milioni), Keane-Lewis Potter (Hull City, Pauni 16milioni), Thomas Strakosha, (Lazio, bure), Yehor Yarmolyuk (Dnipro-1, imefichwa), Ben Mee (Burnley, bure), Mikkel Damsgaard (Sampdoria, Pauni 16.7milioni), Angel Waruih (Plymouth Argyle, bure)

Wametoka: Dom Jefferies (Gillingham, bure), Christian Eriksen (Manchester United, bure), Lewis Gordon (Bristol Rovers, bure), Max Haygarth (ametemwa), Julian Jeanvier (Auxerre, bure), Jaakko Oksanen (KuPS, bure), Mads Bidstrup (FC Nordsjaelland, mkopo), Paris Maghoma (AFC Wimbledon, mkopo), Lachlan Brook (Crewe Alexandra, mkopo), Dominic Thompson (Blackpool, imefichwa), Daniel Oyegoke (Milton Keynes Dons, mkopo), Marcus Forss (Middlesbrough, imefichwa), Nathan Young-Coombes (AFC Wimbledon, mkopo), Ellery Balcombe (Crawley Town, mkopo), Tarique Fosu (Stoke City, mkopo), Myles Peart-Harris (Forest Green Rovers, mkopo), Joel Valencia (De Graafschap, mkopo)


Brighton

Wameingia: Julio Enciso (Libertad, Pauni 9.5milioni), Simon Adingra (Nordsjaelland, imefichwa), Levi Colwill (Chelsea, mkopo), Pervis Estupinan (Villarreal, imefichwa), Billy Gilmour (Chelsea, Pauni 10milioni)

Wametoka: Jayson Molumby (West Brom, imefichwa), Yves Bissouma (Tottenham, Pauni 35milioni), Alex Cochrane (Hearts, imefichwa), Tudor Baluta (Farul Constanta, bure), Lars Dendoncker (ametemwa), Ulrick Eneme Ella (Angers, bure), Simon Adingra (Union SG, mkopo), Carl Rushworth (Lincoln City, mkopo), Haydon Roberts (Derby County, mkopo), Abdallah Sima (Angers, mkopo), Aaron Connolly (Venezia, mkopo), Leo Skiri Ostigard (Napoli, imefichwa), Taylor Richards (QPR, mkopo), Marc Leonard (Northampton Town, mkopo), Jensen Weir (Morecambe, mkopo), Reda Khadra (Sheffield United, mkopo), Teddy Jenks (Crawley Town, mkopo), Andi Zeqiri (Basel, mkopo), Michal Karbownik (Fortuna Dusseldorf, mkopo), Shane Duffy (Fulham, mkopo), Marc Cucurella (Chelsea, Pauni 62.5milioni), Kjell Scherpen (Vitesse, mkopo), Lorent Tolaj (Salford City, mkopo), Kacper Kozlowski (Vitesse, mkopo), Matthew Clarke (Middlesbrough, Pauni 2milioni), Neal Maupay (Everton, Pauni 16milioni)


Chelsea

Wameingia: Raheem Sterling (Manchester City, Pauni 50milioni), Kalidou Koulibaly (Napoli, Pauni 33milioni), Omari Hutchinson (Arsenal, imefichwa), Gabriel Slolina (Chicago Fire, Pauni 12milioni), Carney Chukwuemeka (Aston Villa, Pauni 20milioni), Marc Cucurella (Brighton, Pauni 62.5milioni), Cesare Casadei (Pauni 12.6milioni), Wesley Fofana (Leicester, Pauni 80milioni), Pierre-Emerick Aubameyang (Barcelona, imefichwa), Denis Zakaria (Juventus, mkopo)

Wametoka: Antonio Rudiger (Real Madrid, bure), Andreas Christensen (Barcelona, bure), George McEachran (ametemwa), Thierno Ballo (Wolfsberger, bure), Jake Clarke-Salter (QPR, bure), Danny Drinkwater (ametemwa), Charly Musonda (Levante, bure), Romelu Lukaku (Inter Milan, mkopo), Lucas Bergstrom (Peterborough United, mkopo), Sam McClelland (Barrow, mkopo), Nathan Baxter (Hull City, mkopo), Jammie Cumming (MK Dons, mkopon), Ian Maatsen (Burnley, mkopo), Tino Anjorin (Huddersfield Town, mkopo), Henry Lawrence (MK Dons, mkopo), Gabriel Slonina (Chicago Fire, mkopo), Levi Colwill (Brighton, mkopo), Matt Miazga (FC Cincinnati, bure), Timo Werner (RB Leipzig, Pauni 25milioni), Malang Sarr (Monaco, mkopo), Edwin Andersson (Stoke City, bure), Emerson (West Ham, Pauni 15milioni), Ross Barkley (ametemwa), Callum Hudson-Odoi (Bayer Leverkusen, mkopo), Baba Rahman (Reading, mkopo), Harvey Vale (Hull, mkopo), Kenedy (Real Valladolid, imefichwa), Billy Gilmour (Brighton, Pauni 10milioni), Marcos Alonso (Barcelona, bure).


Crystal Palace

Wameingia: Malcolm Ebiowei (Derby County, imefichwa), Sam Johnstone (West Brom, bure), Cheick Doucoure (Lens, Pauni 18milioni), Chris Richards (Bayern Munich, Pauni 10.1milioni)

Wametoka: Cheikhou Kouyate (Nottingham Forest, bure), Luke Dreher (ametemwa), Jaroslaw Jach (Zaglebie Lubin, bure), Nya Kirby (ametemwa), Martin Kelly (ametemwa), Sion Spence (Gloucester City, bure), Tayo Adaramola (Coventry City, mkopo), Remi Matthews (St Johnstone, mkopo), Christian Benteke (DC United, imefichwa), Scott Banks (Bradford City, mkopo), Jesurun Rak-Sakyi (Charlton Athletic, mkopo), Jake O’Brien (RWD Molenbeek, mkopo), Luke Plange (RWD Molenbeek, mkopo), Martin Kelly (West Brom, bure)


Everton

Wameingia: James Tarkowski (Burnley, bure), Ruben Vinagre (Sporting CP, mkopo), Dwight McNeil (Burnley, Pauni 20milioni), Conor Coady (Wolves, mkopo), Amadou Onana (Lille, Pauni 33milioni), Neal Maupay (Brighton, Pauni 16milioni), James Garner (Manchester United, Pauni 15milioni), Idrissa Gueye (Paris Saint-Germain, imefichwa)

Wametoka: Jonjoe Kenny (Hertha BSC, bure), Fabian Delph (ametemwa), Gylfi Sigurdsson (ametemwa), Cenk Tosun (Besiktas, bure), Richarlison (Tottenham Hotspur, Pauni 60milioni), Joao Virginia (SC Cambuur, mkopo), Jarrad Branthwaite (PSV Eindhoven, mkopo), Ellis Simms (Sunderland, mkopo), Lewis Dobbin (Derby, mkopo), Nathan Broadhead (Wigan Athletic, mkopo), Lewis Gibson (Bristol Rovers, mkopo), Dele Alli (Besiktas, mkopo), Jean-Philippe Gbamin (Trabzonspor, mkopo), Niels Nkounkou (Cardiff, mkopo), Andre Gomes (Lille, mkopo)


Fulham

Wameingia: Joao Palhinha (Sporting CP, Pauni 20milioni), Andreas Pereira (Man United, Pauni 10milioni), Manor Solomon (Shakhtar Donetsk, mkopo), Kevin Mbabu (Wolfsburg, Pauni 6.3milioni), Bernd Leno (Arsenal, Pauni 8milioni), Shane Duffy (Brighton, mkopo), Issa Diop (West Ham, Pauni 15milioni), Willian (Corinthians, bure), Carlos Vinicius (Benfica, imefichwa), Layvin Kurzawa (Paris Saint-Germain, mkopo), Dan James (Leeds, mkopo)

Wametoka: Timmy Abraham (Walsall, bure), Fabio Carvalho (Liverpool, bure), Cyrus Christie (Hull City, bure), Fabri (ametemwa), Michael Hector (ametemwa), Alfie Mawson (Wycombe Wanderers, bure), Jerome Opoku (Arouca, bure), Jean Michael Seri (Hull City, bure), Andre-Frank Zambo Anguissa (Napoli, Pauni 14.7milioni), Steven Sessegnon (Charlton Athletic, mkopo), Jean-Pierre Tiehi (Hamilton Academical, mkopo), Rodrigo Muniz (Middlesbrough, mkopo), Joe Bryan (Nice, mkopo), Terence Kongolo (Le Havre, mkopo)


Leeds United

Wameingia: Brenden Aaronson (RB Salzburg, Pauni 22.8milioni), Rasmus Kristensen (RB Salzburg, Pauni 10milioni), Marc Roca (Bayern Munich, Pauni 10milioni), Darko Gyabi (Manchester City, Pauni 5milioni), Tyler Adams (RB Leipzig, Pauni 19.6milioni), Luis Sinisterra (Feyenoord, Pauni 21.4milioni), Sonny Perkins (West Ham, bure), Joel Robles (Real Betis, bure), Wilfried Gnonto (FC Zurich, imefichwa) Wametoka: Ryan Edmondson (Carlisle United, imefichwa), Liam McCarron (Stoke City, imefichwa), Laurens de Bock (Zulte Waregem, bure), Bobby Kamwa (ametemwa), Nohan Kenneh (Hibernian, bure), Kalvin Phillips (Manchester City, Pauni 50milioni), Charlie Cresswell (Millwall, mkopo), Tyler Roberts (QPR, mkopo), Elia Caprile (Bari, imefichwa), Raphinha (Barcelona, Pauni 51milioni), Jamie Shackleton (Millwall, mkopo), Leif Davis (Ipswich Town, Pauni 1milioni), Kiko Casilla (Getafe, bure), Lewis Bate (Oxford United, mkopo), Helder Costa (Al-Ittihad, mkopo), Stuart McKinstry (Motherwell, mkopo), Kun Temenuzhkov (Navalcarnero, bure), Jack Jenkins (Salford City, mkopo), Ivan Poveda (Blackpool, mkopo), Mateusz Bogusz (Ibiza, mkopo), Dan James (Fulham, mkopo)


Leicester City

Wameingia: Alex Smithies (Cardiff, bure), Wout Faes (Reims, imefichwa)

Wametoka: Vontae Daley-Campbell (Cardiff City, bure), Callum Hulme (ametemwa), Eldin Jakupovic (ametemwa), Tyrese Shade (Swindon Town, bure), Jacob Wakeling (Swindon Town, bure), Khanya Leshabela (Crewe Alexandra, mkopo), Ben Nelson (Rochdale, mkopo), Kasper Schmeichel (Nice, Pauni 1milioni), Hamza Choudhury (Watford, mkopo), Jakub Stolarczyk (Fleetwood Town, mkopo), Josh Eppiah (Northampton Town, mkopo), George Hirst (Blackburn Rovers, mkopo), Wesley Fofana (Chelsea, Pauni 80milioni)


Liverpool

Wameingia: Fabio Carvalho ( Fulham, bure), Darwin Nunez (Benfica, Pauni 85milioni), Calvin Ramsay (Aberdeen, Pauni 6.5milioni), Arthur Melo (Juventus, mkopo)

Wametoka: Loris Karius (ametemwa), Divock Origi (AC Milan, bure), Elijah Dixon-Bonner (ametemwa), Luis Longstaff (Cove Rangers, bure), Sheyi Ojo (Cardiff City, bure), Ben Woodburn (Preston North End, bure), Sadio Mane (Bayern Munich, Pauni 35milioni), Takumi Minamino (AS Monaco, Pauni 15.5milioni), Jakub Ojrzynski (Radomiak Radom, mkopo), Conor Bradley (Bolton Wanderers, mkopo), James Balagizi (Crawley Town, mkopo), Billy Koumetio (Austria Vienna, mkopo), Marcelo Pitaluga (Macclesfield, mkopo), Adam Lewis (Newport County, mkopo), Vitezslav Jaros (Stockport County, mkopo), Anderson Arroyo (Alaves, mkopo), Neco Williams (Nottingham Forest, Pauni 18milioni), Ben Davies (Rangers, Pauni 4milioni), Rhys Williams (Blackpool, mkopo), Tyler Morton (Blackburn Rovers, mkopo), Leighton Clarkson (Aberdeen, mkopo), Sepp van den Berg (Schalke, mkopo), Owen Beck (Bolton Wanderers, mkopo), Paul Glatzel (Tranmere Rovers, mkopo)


Manchester City

Wameingia: Erling Haaland (Borussia Dortmund, Pauni 51milioni), Stefan Ortega (Armenia Bielefeld, bure), Kalvin Phillips (Leeds United, Pauni 50milioni), Sergio Gomez (Anderlecht, Pauni 11milioni), Manuel Akanji (Borussia Dortmund, Pauni 15milioni)

Wametoka: James Trafford (Bolton Wanderers, mkopo), Gavin Bazunu (Southampton, Pauni 12milioni), Thomas Agyepong (ametemwa), Mohammed Aminu (ametemwa), Jayden Braaf (Borussia Dortmund, bure), Fernandinho (Athletico Paranaense, bure), Pedro Porro (Sporting CP, Pauni 7.2milioni), CJ Egan-Riley (Burnley, bure), Kluiverth Aguilar (Lommel, mkopo), Taylor Harwood-Bellis (Burnley, mkopo), Ko Itakura (Borussia Monchengladbach, Pauni 4.3milioni), Gabriel Jesus (Pauni 45milioni), Darko Gyabi (Leeds, Pauni 5milioni), Tommy Doyle (Sheffield United, mkopo), Romeo Lavia (Southampton, Pauni 10.5milioni), Ryotaro Meshino (Gambo Osaka, imefichwa), Diego Rosa (Vizela, mkopo), Callum Doyle (Coventry City, mkopo), Raheem Sterling (Chelsea, Pauni 50milioni), Lewis Fiorini (Blackpool, mkopo), Zack Steffen (Middlesbrough, mkopo), Dario Sarmiento (Montevideo City Torque (mkopo), Arijanet Muric (Burnley, Pauni 2.5milioni), Oleksandr Zinchenko (Arsenal, Pauni 30milioni), Yan Couto (Girona, mkopo), Daniel Arzani (Macarthur, imefichwa), Cieran Slicker (Rochdale, mkopo), Pablo Moreno (Maritimo, imefichwa), Yangel Herrera (Girona, mkopo), James McAtee (Sheffield United, mkopo), Slobodan Tedic (Barnsley, mkopo), Nahuel Bustos (Sao Paulo, mkopo), Kayky (Pacos de Ferreira, mkopo), Nahuel Ferraresi (Sao Paulo, mkopo), Issa Kabore (Marseille, mkopo), Liam Delap (Stoke City, mkopo), Ante Palaversa (Troyes, imefichwa), Marlos Moreno (Troyes, imefichwa), Samuel Edozie (Southampton, imefichwa), Juan Larios (Southampton, imefichwa)


Manchester United

Wameingia: Tyrell Malacia (Feyenoord, Pauni 14.7milioni), Christian Eriksen (Brentford, bure), Lisandro Martinez (Ajax, Pauni 51.7milioni), Tom Huddlestone (bure), Casemiro (Real Madrid, Pauni 59milioni), Antony (Ajax, Pauni 84milioni), Martin Dubravka (Newcastle, mkopo)

Wametoka: Lee Grant (amestaafu), Paul McShane (amestaafu), Nemanja Matic (AS Roma, bure), Paul Pogba ( Juventus, bure), Jesse Lingard (Nottingham Forest, bure), Juan Mata (ametemwa), Edinson Cavani (Valencia, bure), Reece Devine (Swindon Town, bure), D’Mani Mellor (Wycombe Wanderers, bure), Connor Stanley (Bolton Wanderers, bure), Dean Henderson (Nottingham Forest, mkopo), Martin Sviderksy (Almeria, imefichwa), Dylan Levitt (Dundee United, Pauni 300,000), Andreas Pereira (Fulham, Pauni 10milioni), Alvaro Fernandez (Preston North End, mkopo), Alex Telles (Sevilla, mkopo), Ethan Laird (QPR, mkopo), Eric Bailly (Marseille, mkopo), Hannibal Mejbri (Birmingham City, mkopo), Amad Diallo (Sunderland, mkopo), James Garner (Everton, Pauni 15milioni), Tahith Chong (Birmingham City, imefichwa), Ethan Gailbraith (Salford City, mkopo)


Newcastle United

Wameingia: Matt Targett (Aston Villa, Pauni 15milioni), Nick Pope ( Burnley, Pauni 10milioni), Sven Botman (Lille, Pauni 35milioni), Alexander Isak (Real Sociedad, Pauni 58milioni)

Wametoka: Isaac Hayden (Norwich City, mkopo), Lewis Cass (Port Vale, mkopo), Freddie Woodman (Preston North End, imefichwa), Thomas Allan (Gateshead, bure), Mohamed Sangare (Accrington Stanley, bure), Jake Turner (Gillingham, bure), Jeff Hendrick (Reading, mkopo), Ciaran Clark (Sheffield United, mkopo), Dwight Gayle (Stoke City, bure), Martin Dubravka (Manchester United, mkopo), Federico Fernandez (Elche, imefichwa)


Nottingham Forest

Wameingia: Taiwo Awoniyi (Union Berlin, Pauni 17milioni), Dean Henderson (Manchester United, mkopo), Giulian Biancone (Troyes, imefichwa), Moussa Niakhite (Mainz, Pauni 10milioni), Omar Richards (Bayern Munich, Pauni 8.5milioni), Neco Williams (Liverpool, Pauni 18milioni), Wayne Hennessey (Burnley, bure), Brandon Aguilera (LD Alajuelense, Pauni 800,000), Harry Toffolo (Huddersfield Town, imefichwa), Lewis O’Brien (Huddersfield Town, imefichwa), Jesse Lingard (Man United, bure), Orel Mangala (Stuttgart, Pauni 12.7milioni), Emmanuel Dennis (Watford, Pauni 20milioni), Cheikhou Kouyate (Crystal Palace, bure), Remo Freuler (Atalanta, Pauni 6.7milioni), Morgan Gibbs-White (Wolves, Pauni 44.5milioni), Ui-Jo Hang (Bordeaux, Pauni 3.5milioni), Renan Lodi (Atletico Madrid, mkopo), Willy Boly (Wolves, imefichwa), Loic Bade (Rennes, mkopo), Josh Bowler (Blackpool, imefichwa)

Wametoka: Rezart Rama (Forge FC, bure), Mohamed Drager (Luzern, mkopo), Jayden Richardson (Aberdeen, imefichwa), Gaeten Bong (ametemwa), Baba Fernandes (Accrington Stanley, bure), Tobias Figueiredo (Hull City, bure), Lewis Grabban (Al-Ahli, bure), Carl Jenkinson (Newcastle Jets, bure), Marcelo Saraiva (ametemwa), Ethan Horvath (Luton Town, mkopo), Brice Samba (Lens, Pauni 4.3milioni), Tyrese Fornah (Reading, mkopo), Will Swan (Mansfield Town, mkopo), Jonathan Panzo (Coventry, mkopo), Fin Back (Carlisle United, mkopo), Riley Harbottle (Mansfield Town, mkopo), Brandon Aguilera (Guanacasteca, mkopo), Nicholas Ioannou (Como, imefichwa), Xande Silva (Dijon, imefichwa), Braian Ojeda (Real Salt Lake, mkopo), Richie Laryea (Toronto, mkopo), Nuno Da Costa (Auxerre, Pauni 1milioni), Joe Lolley (Sydney FC, imefichwa), Hwang Ui-Jo (Olympiacos, mkopo), Alex Mighten (Sheffield Wednesday, mkopo), Josh Bowler (Olympiacos, mkopo)


Southampton

Wameingia: Gavin Bazunu (Manchester City, Pauni 12milioni), Mateusz Lis (Altay SK, bure), Armel Bella-Kotchap (VfL Bochum, Pauni 8.6milioni), Armel Bella-Kotchap (VfL Bochum, Pauni 9.5milioni), Romeo Lavia (Manchester City, Pauni 10.5milioni), Joe Aribo (Rangers, Pauni 6milioni), Sekou Mara (Bordeaux, Pauni 11milioni), Ainsley Maitland-Niles (Arsenal, mkopo), Samuel Edozie (Manchester City, imefichwa), Juan Larios (Manchester City, imefichwa), Duje Caleta-Car (Marseille, imefichwa)

Wametoka: Caleb Watts (Morecambe, mkopo), Kazeem Olaigbe (Ross County, mkopo), Fraser Forster (Tottenham, bure), Harry Lewis (Bradford City, bure), Shane Long (Reading, bure), Dan Nlundulu (Cheltenham Town, mkopo), Will Smallbone (Stoke, mkopo), Kegs Chauke (Exeter City, mkopo), Thierry Small (Port Vale, mkopo), Will Ferry (Cheltenham, imefichwa), Nathan Tella (Burnley, mkopo), Kayne Ramsay (Harrogate Town, imefichwa) Oriol Romeu (Girona, mkopo), Yan Valery (Angers, imefichwa), Jack Stephens (Bournemouth, mkopo), Jan Bednarek (Aston Villa, mkopo)


Tottenham Hotspur

Wameingia: Ivan Perisic (Inter Milan, bure), Fraser Forster (Southampton, bure), Yves Bissouma (Brighton, Pauni 35milioni), Richarlison (Everton, Pauni 60milioni), Tyler Ashcroft (Reading, imefichwa), Djed Spence (Middlesbrough, Pauni 12.5milioni), Clement Lenglet (Barcelona, mkopo), Destiny Udogie (Udinese, Pauni 15milioni), Cristian Romero (Atalanta, Pauni 48milioni), Will Lankshear (Sheffield United, imefichwa)

Wametoka: J’Neil Bennett (ametemwa), Dermi Lusala (Coventry City, bure), Tobi Omole (Crawley Town, bure), Cameron Carter-Vickers (Celtic, Pauni 6milioni), Steven Bergwijn (Ajax, Pauni 26.5milioni), Jack Clarke (Sunderland, imefichwa), Troy Parrott (Preston North End, mkopo), Dane Scarlett (Portsmouth, mkopo), Joe Rodon (Rennes, mkopo), Kion Etete (Cardiff, imefichwa), Giovani Lo Celso (Villarreal, mkopo), Destiny Udogie (Udinese, mkopo), Tanguy Ndombele (Napoli, mkopo), Sergio Reguilon (Atletico Madrid), Harry Winks (Sampdoria, mkopo)


West Ham

Wameingia: Nayerf Aguerd (Rennes, Pauni 30milioni), Alphonse Areola (PSG, Pauni 10.5milioni), Flynn Downes (Swansea City, Pauni 9milioni), Gianluca Scamacca (Sassuolo, Pauni 33milioni), Maxwel Cornet (Burnley, Pauni 17.5milioni), Thile Kehrer (PSG, Pauni 10milioni), Emerson (Chelsea, mkopo), Lucas Paqueta (Lyon, Pauni 51mil)

Wametoka: Mark Noble (amestaafu), Ossama Ashley (Colchester United, bure), Ryan Fredericks (Bournemouth, bure), Nathan Holland (MK Dons, bure), David Martin (ametemwa), Sonny Perkins (Leeds United, bure), Andriy Yarmolenko (Al Ain, bure), Aji Alese (Sunderland, imefichwa), Arthur Masuaku (Besiktas, mkopo), Issa Diop (Fulham, Pauni 15milioni), Nikola Vlasic (Torino, mkopo), Joseph Anang (Derby, mkopo), Thierry Nevers (Newport County, mkopo), Nathan Trott (Vejle BK, mkopo), Daniel Chesters (Colchester United, mkopo), Mipo Odubeko (Port Vale, mkopo), Armstrong Oko-Flex (Swansea City, mkopo), Emmanuel Longelo (Birmingham City, mkopo)


Wolves

Wameingia: Hwang Hee-chan (RB Leipzig, Pauni 14milioni), Nathan Collins (Burnley, Pauni 20.5milioni), Goncalo Guedes (Valencia, Pauni 27.5milioni), Matheus Nunes (Sporting, Pauni 42milioni), Sasa Kalajdzic (Stuttgart, Pauni 15milioni), Boubacar Traore (Metz, mkopo)

Wametoka: Ki-Jana Hoever (PSV Eindhoven, mkopo), Ryan Giles (Middlesbrough, mkopo), Bendeguz Bolla (Grasshopper, mkopo), Pascal Estrada (Olimpija Ljubljana, bure), Marcal (Botafogo, bure), Jamie Pardington (ametemwa), John Ruddy (Birmingham City, bure), Romain Saiss (Besiktas, bure), Ruben Vinagre (Sporting CP, Pauni 9milioni), Dion Sanderson (Birmingham City, mkopo), Lewis Richards (Harrogate Town, mkopo), Renat Dadashov (Grasshoppers, imefichwa), Meritan Shabani (Grasshopper, imefichwa), Taylor Perry (Cheltenham Town, mkopo), Fabio Silva (Anderlecht, mkopo), Theo Corbeanu (Blackpool, mkopo), Nigel Lonwijk (Plymouth Argyle, mkopo), Conor Coady (Everton, mkopo), Morgan Gibbs-White (Nottingham Forest, Pauni 42milioni), Bruno Jordao (Santa Clara, mkopo), Luke Cundle (Swansea City, mkopo), Patrick Cutrone (Como, Pauni 16milioni), Leander Dendoncker (Aston Villa, Pauni 13milioni), Willy Boly (Nottingham Forest, imefichwa).