Je! Ubeti kwenye Jackpot au Multibet?

Watu wengi hupendelea kuweka ubashiri wao katika matokeo ya aina moja, kwa mfano timu gani itashinda mechi au timu zote zitafunga magoli na kadhalika. Ukweli wa mambo uko hivi, ubashiri wa matokeo ya aina moja unampa mbashiri asilimia ndogo za kushinda, maana yake ni kwamba alama zake ni ndogo na haziakisi uwezekano wake wa kushinda ubashiri.
Waendesha michezo ya ubashiri wanatakiwa kuweka msawazo wa uwezekano wa mbashiri kushinda na upangaji wa alama ndogo katika ubashiri wa matokeo ya aina moja ndiyo njia mojawapo.
Hii inamaanisha kuwa njia pekee ya kushinda fedha nyingi, ni kwa kuweka ubashiri wako katika mtindo wa jackpot au multibets. Kujua tofauti iliyopo baina ya aina hizi mbili unaweza pia kutembelea tovuti hii kulinganisha na kuangalia ubashiri unavyofanywa kwa aina zote mbili: https://jackpotpredictions.co.tz/
Multibets
Huu ni ubashiri unaoundwa na mfululizo wa bashiri kadhaa za matokeo ya aina moja. Kila wakati unapoongeza ubashiri mpya katika multibet, inaongeza jumla ya alama. Ikimaanisha uwezekano wa kushinda unaongezeka maradufu kila wakati ubashiri mpya unapowekwa katika stakabadhi ya ubashiri. Wabashiri hupendelea kutumia aina hii kuweka ubashiri wao wa siku, ambapo kila siku inakuwa tofauti.
Licha ya ukweli kuwa kwa upande mwingine, uwezekano wa kushinda pia hupungua na kuufanya ubashiri wako kuwa rehani. Kuna masharti kadhaa yanayoeleza aina gani za bashiri zinatakiwa kuongezwa katika multibet, kwa kuwa huwezi kuweka ubashiri wa multibet kwa mechi moja katika stakabadhi moja. Unatakiwa kuchagua mechi, masoko na dau unalotaka kuweka.
Jackpots
Jackpots kimsingi ni multibets zilizokwishafanyika tayari na mwendeshaji wa michezo hiyo. Zinafanana katika muktadha wa kuhusisha bashiri kadhaa za matokeo ya aina moja katika stakabadhi moja, ingawa hupangwa na mwendeshaji wa ubashiri.
Unaweza kuweka ubashiri wako mmoja mara mbili,dau na jackpot nzima inadhibitiwa na mwendesha ubashiri.
Ubashiri upi ni bora baina yao?
Kimsingi inategemea na mbashiri mwenyewe, na unaweza kutumia aina zote za ubashiri. Multibet ni nzuri zaidi kama una maarifa na unajua kile unachokifanya. Jackpot ni nzuri kama ndiyo unaanza kujifunza kubashiri au endapo hauna muda wa kutengeneza stakabadhi ya orodha ya bashiri unazotaka kufanya.