PRIME Mokwena, Yanga ngoma nzito YANGA inaendelea kupasua kichwa juu ya kocha gani imchukue kwa ajili ya kulijenga upya benchi la ufundi la msimu ujao, na sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa ikapoteza chaguo jingine la tatu...
Sheria ya pigo la penalti yaboreshwa Bodi ya Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (IFAB) imefanya maboresho ya sheria mbili za soka ambazo ni sheria namba 10 inayohusu kuamua matokeo ya mchezo na sheria namba 14 inayohusu pigo la penalti.
PRIME Yanga, Bodi ya Ligi waachana njia panda! Licha ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza tarehe mpya ya kuchezwa mechi ya marudiano kati ya Yanga na Simba, hali ya sintofahamu imeendelea kutanda upande wa Jangwani kuhusu hatma ya...