Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Singida FG yampa 'Thank You' Pluijm

Singida Fountain Gate imeachana na Kocha Mkuu Hans van der Pluijm raia wa kwa Uholanzi ambaye aliongeza mkataba mpya ikimaanisha mwaka mmoja alipomaliza Juni 30.


Taarifa imetolewa na Klabu hiyo ni kuwa kocha huyo amejiuzulu na timu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule


Pluijm aliyeiwezesha timu hiyo kumaliza nafasi ya nne na kufuzu michuano ya CAF na kufanikiwa kufuzu hatua ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika

SFG imetinga hatua hiyo  baada ya kushinda mabao 4-1 dhidi ya JKU mchezo wa kwanza na kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao.