Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Oscar Joshua afunga ndoa

Muktasari:

  • Oscar  amefunga ndoa hiyo  na mchumba wake wa siku nyingi, ambaye pia ni mama wa watoto wake wawili.

Beki wa kushoto wa zamani wa Yanga, Oscar Joshua amefunga ndoa na mkewe, Monica katika kanisa la TAG jijini  Mwanza jana Jumamosi.

Oscar  amefunga ndoa hiyo  na mchumba wake wa siku nyingi, ambaye pia ni mama wa watoto wake wawili.

Baada ya ndoa hiyo jijini Mwanza, Oscar anatarajia kufanya sherehe nyingine  jijini Dar es Salaam.

"Nashukuru nimekamilisha suala la ndoa hii na sasa narudi kufanya mambo mengine hasa uwanjani ambako nilisimama kwa muda,"alisema  Oscar.