Masupastaa walivyotesa Ballon dOr kwa miaka 20

Muktasari:
Hii hapa orodha ya mastaa waliotinga 10 bora ya Ballon d’Or kwa ndani ya miaka 20 iliyopita.
PARIS, UFARANSA . SUPASTAA, Lionel Messi ameweka rekodi ya kubeba Ballon d’Or kwa mara ya sita na hivyo kuwa mchezaji aliyenyakua tuzo hiyo mara nyingi zaidi kwenye historia ya utoaji wa tuzo hiyo.
Mwaka jana, kiungo Luka Modric alikatisha utawala wa Messi na Cristiano Ronaldo waliotamba kwa kutwaa tuzo hiyo kwa miaka 10 mfululizo, kila mmoja akibeba mara tano, lakini usiku wa Jumatatu iliyopita, Messi alirudisha utawala huo kwa kubeba tuzo hiyo katika sherehe zilizofanyika huko Paris, Ufaransa.
Mastaa 30 walitajwa kwenye kuwania tuzo hiyo, lakini Messi ndiye aliyeibuka kidedea na kujinyakulia ushindi.
Hata hivyo, unafahamu ni wachezaji gani waliotinga kwenye 10 bora ya Ballon d’Or 2019 na Messi aliwapiku wapinzani wake kibao akiwamo hasimu wake, Cristiano Ronaldo.
Hii hapa orodha ya mastaa waliotinga 10 bora ya Ballon d’Or kwa ndani ya miaka 20 iliyopita.
Ballon d’Or 2000
1. Luis Figo (Barcelona& Real Madrid)
2. Zinedine Zidane (Juventus)
3. Andriy Shevchenko (AC Milan)
4. Thierry Henry (Arsenal)
5. Alessandro Nesta (Lazio)
6. Rivaldo (Barcelona)
7. Gabriel Batistuta (Roma)
8. Gaizka Mendieta (Valencia)
9. Raul (Real Madrid)
10: David Beckham (Man United)
Ballon d’Or 2001
1. Michael Owen (Liverpool)
2. Raul (Real Madrid)
3. Oliver Kahn (Bayern Munich)
4. David Beckham (Man United)
5. Francesco Totti (Roma)
6. Luis Figo (Real Madrid)
7. Rivaldo (Barcelona)
8. Andriy Shevchenko (AC Milan)
9. Thierry Henry (Arsenal)
10. Zinedine Zidane (Real Madrid)
Ballon d’Or 2002
1. Ronaldo (Inter & Real Madrid)
2. Roberto Carlos (Real Madrid)
3. Oliver Kahn (Bayern Munich)
4. Zinedine Zidane (Real Madrid)
5. Michael Ballack (Leverkusen & Bayern)
6. Thierry Henry (Arsenal)
7. Raul (Real Madrid)
8. Rivaldo (Barcelona& AC Milan)
9. Yildiray Basturk (Leverkusen)
10. Alessandro Del Piero (Juventus)
Ballon d’Or 2003
1. Pavel Nedved (Juventus)
2. Thierry Henry (Arsenal)
3. Paolo Maldini (AC Milan)
4. Andriy Shevchenko (AC Milan)
5. Zinedine Zidane (Real Madrid)
6. Ruud van Nistelrooy (Man United)
7. Raul (Real Madrid)
8. Roberto Carlos (Real Madrid)
9. Gianluigi Buffon (Juventus)
10. David Beckham (Man United& Real Madrid)
Ballon d’Or 2004
1. Andriy Shevchenko (AC Milan)
2. Deco (Porto and Barcelona)
3. Ronaldinho (Barcelona)
4. Thierry Henry (Arsenal)
5. Theodoros Zagorakis (AEK Athens& Bologna)
6. Adriano (Parma& Inter Milan)
7. Pavel Naved (Juventus)
8. Wayne Rooney (Everton & Man United)
9. Ricardo Carvalho (Porto& Chelsea)
10. Ruud van Nistelrooy (Man United)
Ballon d’Or 2005
1. Ronaldinho (Barcelona)
2. Frank Lampard (Chelsea)
3. Steven Gerrard (Liverpool)
4. Thierry Henry (Arsenal)
5. Andriy Shevchenko (AC Milan)
6. Paolo Maldini (AC Milan)
7. Adriano (Inter Milan)
8. Zlatan Ibrahimovic (Juventus)
9. Kaka (AC Milan)
10: Samuel Eto’o (Barcelona)
10: John Terry (Chelsea)
Ballon d’Or 2006
1. Fabio Cannavaro (Juventus& Real Madrid)
2. Gianluigi Buffon (Juventus)
3. Thierry Henry (Arsenal)
4. Ronaldinho (Barcelona)
5. Zinedine Zidane (Real Madrid)
6. Samuel Eto’o (Barcelona)
7. Miroslav Klose (Werder Bremen)
8. Didier Drogba (Chelsea)
9. Andrea Pirlo (AC Milan)
10. Jens Lehmann (Arsenal)
Ballon d’Or 2007
1. Kaka (AC Milan)
2. Cristiano Ronaldo (Man United)
3. Lionel Messi (Barcelona)
4. Didier Drogba (Chelsea)
5. Andrea Pirlo (AC Milan)
6. Ruud van Nistelrooy (Real Madrid)
7. Zlatan Ibrahimovic (Inter Milan)
8. Cesc Fabregas (Arsenal)
9. Robinho (Real Madrid)
10. Francesco Totti (Roma)
Ballon d’Or 2008
1. Cristiano Ronaldo (Man United)
2. Lionel Messi (Barcelona)
3. Fernando Torres (Liverpool)
4. Iker Casillas (Real Madrid)
5. Xavi (Barcelona)
6. Andrey Arshavin (Zenit)
7. David Villa (Valencia)
8. Kaka (AC Milan)
9. Zlatan Ibrahimovic (Inter Milan)
10. Steven Gerrard (Liverpool)
Ballon d’Or 2009
1. Lionel Messi (Barcelona)
2. Cristiano Ronaldo (Man United& Real Madrid)
3. Xavi (Barcelona)
4. Andres Iniesta (Barcelona)
5. Samuel Eto’o (Barcelona)
6. Kaka (AC Milan and Real Madrid)
Lionel Messi with his first Ballon d’Or in 2009
7. Zlatan Ibrahimovic (Inter & Barcelona)
8. Wayne Rooney (Man United)
9. Steven Gerrard (Liverpool)
10. Didier Drogba (Chelsea)
Ballon d’Or 2010
1. Lionel Messi (Barcelona)
2. Andres Iniesta (Barcelona)
3. Xavi (Barcelona)
4. Wesley Sneijder (Inter Milan)
5. Diego Forlan (Atletico Madrid)
6. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
7. Iker Casillas (Real Madrid)
8. David Villa (Valencia&Barcelona)
9. Didier Drogba (Chelsea)
10. Xabi Alonso (Liverpool)
Ballon d’Or 2011
1. Lionel Messi (Barcelona)
2. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
3. Xavi (Barcelona)
4. Andres Iniesta (Barcelona)
5. Wayne Rooney (Man United)
6. Luis Suarez (Ajax and Liverpool)
7. Diego Forlan (Atletico& Inter Milan)
8. Samuel Eto’o (Inter& Anzhi)
9. Iker Casillas (Real Madrid)
10. Neymar (Santos)
Ballon d’Or 2012
1. Lionel Messi (Barcelona)
2. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
3. Xavi (Barcelona)
4. Andres Iniesta (Barcelona)
5. Radamel Falcao (Atletico)
6. Iker Casillas (Real Madrid)
7. Andrea Pirlo (Juventus)
8. Didier Drogba (Chelsea)
9. Robin van Persie (Arsenal&ManUnited)
10. Zlatan Ibrahimovic (Milan&PSG)
Ballon d’Or 2013
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2. Lionel Messi (Barcelona)
3. Franck Ribery (Bayern Munich)
4. Zlatan Ibrahimovic (PSG)
5. Neymar (Santos and Barcelona)
6. Andres Iniesta (Barcelona)
7. Robin van Persie (Man United)
8. Arjen Robben (Bayern Munich)
9. Gareth Bale (Tottenhamℜ Madrid)
10. Andrea Pirlo (Juventus)
Ballon d’Or 2014
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2. Lionel Messi (Barcelona)
3. Manuel Neuer (Bayern Munich)
4. Arjen Robben (Bayern Munich)
5. Philipp Lahm (Bayern Munich)
6. Thomas Muller (Bayern Munich)
7. Neymar (Barcelona)
8. James Rodriguez (Monacoℜ Madrid)
9. Toni Kroos (Bayernℜ Madrid)
10. Angel di Maria (Real Madrid&Man United)
Ballon d’Or 2015
1. Lionel Messi (Barcelona)
2. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
3. Neymar (Barcelona)
4. Robert Lewandowski (Bayern Munich)
5. Paul Pogba (Juventus)
6. Thomas Muller (Bayern Munich)
7. Manuel Neuer (Bayern Munich)
8. Eden Hazard (Chelsea)
9. Andres Iniesta (Barcelona)
10. Alexis Sanchez (Arsenal)
Ballon d’Or 2016
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2. Lionel Messi (Barcelona)
3. Antoine Griezmann (Atletico)
4. Luis Suarez (Barcelona)
5. Neymar (Barcelona)
6. Gareth Bale (Real Madrid)
7. Riyad Mahrez (Leicester)
8. Jamie Vardy (Leicester)
9: Gianluigi Buffon (Juventus)
9: Pepe (Real Madrid)
Ballon d’Or 2017
1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2. Lionel Messi (Barcelona)
3. Neymar (Barcelona&PSG)
4. Gianluigi Buffon (Juventus)
5. Luka Modric (Real Madrid)
6. Sergio Ramos (Real Madrid)
7. Kylian Mbappe (Monaco&PSG)
8. N’Golo Kante (Chelsea)
9. Robert Lewandowski (Bayern Munich)
10. Harry Kane (Tottenham)
Ballon d’Or 2018
1. Luka Modric (Real Madrid)
2. Cristiano Ronaldo (Juventus)
3. Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
4. Kylian Mbappe (Paris Saint-Germain)
5. Lionel Messi (Barcelona)
6. Mohamed Salah (Liverpool)
7. Raphael Varane (Real Madrid)
8. Eden Hazard (Chelsea)
9. Kevin de Bruyne (Manchester City)
10. Harry Kane (Tottenham)
Ballon d’Or 2019
1. Lionel Messi (Barcelona)
2. Virgil van Dijk (Liverpool)
3. Cristiano Ronaldo (Juventus)
4. Sadio Mane (Liverpool)
5. Mohamed Salah (Liverpool)
6. Kylian Mbappe (PSG)
7. Alisson Becker (Liverpool)
8. Robert Lewandowski (Bayern Munich)
9. Bernardo Silva (Man City)
10. Riyad Mahrez (Man City)