Simba yaichakaza Mighty Wanderers, yatinga raundi ya pili kibabe SIMBA haina utani. Imefanikiwa kuitafuna Mighty Wanderers kwa ushindi wa mabao 6-1 ikitinga hatua ya pili ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
KVZ yatupwa nje CAF ikichapwa 3-0 nyumbani ASSWEHLY SC imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada kuondoka na ushindi wa mabao 3-0 katika ardhi ya Zanzibar katika mchezo wa marudiano dhidi ya KVZ uliochezwa leo...