Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Dodoma yaaangusha pointi mbili ikitoka sare na Mtibwa Sugar

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji na Mtibwa Sugar umemalizika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kwa timu hizo kufungana bao 1-1.

Katika mchezo huu Mtibwa ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 18 kupitia kwa mshambuliaji wake, Abdul Hilary kabla ya Emmanuel Martin kuisawazishia Dodoma dakika ya 38

Katika michezo 3 ambayo Dodoma imecheza imeshinda mmoja, sare moja na kupoteza 1 ikiwa nafasi ya sita na pointi 4.

Kwa upande wa Mtibwa Sugar katika michezo 3 imetoka sare mbili na kupoteza mmoja tu ikishika nafasi ya 12 na pointi 2