Hongera vijana Serengeti Boys, lakini safari ndefu inawasubiri

Muktasari:
- Serengeti ilitwaa ubingwa huobaadaya kuichapa Somalia mabao 2-0 kwenyemchezowafainaliuliofanyikajijini Bujumbura, Burundi.
WIKIENDI iliyomalizikailikuwa ya shangwekwasoka la Tanzania baadayatimuyaTaifayavijanachiniyamiaka 17, Serengeti Boys kutwaa ubingwa wa AfrikaMashariki na Kati (CECAFA).
Serengeti ilitwaa ubingwa huobaadaya kuichapa Somalia mabao 2-0 kwenyemchezowafainaliuliofanyikajijini Bujumbura, Burundi.
Timuhiyoyavijanaimetwaaubingwawakatiambapondio kwanza inatengenezakikosikipya cha vijanachiniyamiaka 16 ambaowatashirikimichuanoyaAfrikakwavijanaitakayofanyikahapanchinimwakani.
Kwa mujibuwabenchi la ufundi la Serengeti Boys, nikwambawalikwendanavijana 25 nchini Burundi nakuachawengine 15 nchiniambaokwapamojawataundatimuhiyoyamashindano.
Hakikahuunimwanzomzuriwa safari ndefuyatimuhiyoyavijanakablayamichuanohiyoitakayofanyikamwakanihapanchini.
Ni wazikuwaWatanzaniawengiwakiuyakuonatimuyaoinafanyavizurikatikamashindanohayoyatakayofanyikanchinikwamaraya kwanza katikahistoria.
Tanzania haijawahikupatawenyejiwamichuanoyoyotemikubwainayoandaliwanaShirikisho la SokaAfrika (CAF) hivyoipohajayakuwanatimuyenyeuwezomkubwawakuwekarekodikatikamashindanohayo.
Mwakajanaulikuwaniwamageuzikwasoka la Tanzania pale Serengeti Boys ilipofuzukwenyemashindanohayoyaAfrikakwamaraya kwanza, hivyomwendelezo wake unapaswakuwamzurizaidi.
Mafanikioyakuchukuaubingwawa Cecafa yanapaswasasakutumikakamamsingiimarawakuijengatimuhiyokuelekeakwenyemichuanoya AFCON ambayohutoawawakilishiwakwendakushirikikombe la Dunia.
Tunalipongezabenchi la ufundi la Serengeti Boys chiniyakochamkuu, Oscar Mirambonamsimamiziwatimuzavijana, Kim Paulsen ambaowanafanyakazikubwakuisukatimuhiyo.
Wawilihawawalifanyakazikubwayakusakavipajinchinikotenakuendeshamchujoambaoumewawezeshakupatakikosi bora cha kushindananatimuzaAfrikaMasharikinahataDunianikote.
TunapendakutoawitokwaonaShirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuendeleakuipakipaumbeletimuhiyonakuhakikishainaandaliwavizurihadihatuayamwisho.
TunafahamukwambakuendeshatimuyavijanakamahiinigharamakubwalakiniinahitajikanguvuyapamojayakufanikishamaandaliziyaokablayakuanzakwamichuanoyaAfrika.
Tunaombawadhaminimbalimbaliwajitokezekuchangiatimuhiyoiliiwezekupigahatuanakuwaimarazaidi.
IfahamikekuwatimuhiiimeanzakuingiakwenyemioyoyaWatanzaniahivyosapotiyoyoteitakayotolewaitakuwanafaidakubwakwamwekezajikutokananatimuhiyokufuatiliwanawatuwengi.
Mwishowayote, tunapendakuishauri TFF ianchekuendesha mambo yakekwamazoeakwanikwakufanyahivyowanajirudishanyumawenyewe.
Ni jambo la aibukupelekatimuya Serengeti Boys katikamichuanokamahiiya CECAFA bilayakuwepokwamtuyeyotewakutoahabari.
Hatakamakulikuwanamchezomkubwawa Simba na Yanga, TFF ilipaswakuwanamtuwakutoahabarizatimuhiinchini Burundi, kwanikwakufanyahivyowatakuwawanaitangazazaidinakuifanyaiwenamsisimkomkubwa.
Ilifikiahatuatimuimeshindaubingwalakinihata TFF wenyewehawanapichazaubingwanakutegemewakutumiwanawatuwasiojulikana.
Hiiniaibukwataasisikubwakama TFF. Kukosawatuwahabarinamawasilianokatikamatukiomakubwakamahaya, kunazifanyatimuzetuzaTaifakuonekanazakawaidajapokuwazinauwezomkubwawakufanyavizuri.
Mwishowayote, tunapendakuwasihivijanawanaoundatimuhiikuendeleanamoyowakupambanakwaniwanachokifanyasasakitakuwanafaidakubwakwenyemaishayaoya baadaye.
Wachezaji wafahamu kuwa kufanya vyema ndiyo mwanzo mzuri kwa kutengeneza maisha ya baadaye katika kuendelea na maisha ya soka.
Kufanya vyema katika mashindano kutawatoa vijana. Waache kujaa sifa kuona kwamba wamemaliza, wasibweteke na wajue kuwa huo ndiyo mwanzo mzuri.
Kujitahidi, kuwa na mawazo ya kuona kilichofanyika bado zaidi, kutawapa nafasi ya kufika mbali kuliko kuacha kufanya mazoezi na kuona wamemaliza wakati ndiyo kwanza wameanza maisha ya soka.