ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Yanga yaiwahi C.Africain

Ijumaa, Novemba 04, 2022

Kikosi cha Yanga kimeanza safari ya kwenda Tunisia leo kwaajili ya mchezo wa marudiano ya mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Club Africain Novemba 9 jijini Tunis.

Yanga imeondoka na msafara wa watu 41 amabao ni wachezaji 22, benchi la ufundi watu 10 na viongozi wengine watakaombatana na timu.

Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo uliochezwa Novemba 2 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ulimalizika kwa sare ya bila kufungana, hivyo Yanga inahitaji ushindi wa aina yeyote au droo ya mabao ili kuweza kusonga katika hatua ya makundi.

Photo: 1/3   

Photo: 2/3   

Photo: 3/3   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration