Picha Watatu Simba kuikosa Dodoma Jiji Jumamosi, Oktoba 01, 2022 Kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola amethibitisha watawakosa wachezaji wao watatu Pape Sakho, Shomari Kapombe na Peter Banda kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Fadlu atoa kauli nzito CAF SIMBA imeumia. Mashabiki wamebeba majonzi. Viongozi wamesalia na maswali. Lakini katikati ya huzuni hii nzito, moto mpya unawashwa Msimbazi. Moto wa mageuzi. Moto wa kulipiza kisasi kwa njia ya...
PRIME Kilicho iponza Simba CAFCC hiki hapa SIMBA imepoteza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco.
Baada ya Simba kukosa ubingwa CAF, Manula atoa kauli nzito SIKU chache baada ya Simba SC kupoteza nafasi ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, golikipa wa timu hiyo, Aishi Manula, ameibuka na kutoa kauli nzito kuhusu kilichotokea.