ePaper

Mwanaspoti

Search
Log in Sign up
My Account
  • Personal details
  • Change password
  • Purchases

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Simba imelala, ila ina kitu

Jumatatu, Aprili 03, 2023

SIMBA inayoiwakilisha Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika imemaliza mechi sita za makundi ikiwa Kundi C baada ya usiku wa kuamkia jana kuchapw3a mabao 3-1 na Raja Casablanca ya Morocco, huku lipigiwa soka tamu kwenye Uwanja wa Mohammed V, jijini Casablanca.

Mechi hiyo ya kukamilisha ilipigwa kuanzia saa 7:00 usiku huku timu zote zikiwa tayari zimeshakata tiketi ya kucheza robo fainali, Raja ikiwa kinara na pointi 16 wakati Simba ikimaliza ya pili na alama tisa, huku Horoya ya Guinea ikishika nafasi ya tatu kwa pointi saba na Vipers ikimaliza na pointi 2.

Photo: 1/4   

Photo: 2/4   

Photo: 3/4   

Photo: 4/4   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

Join the discussion

Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30, 2022
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30, 2022
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29, 2022

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Nation Media Group © 2023

Decoration