Picha Phiri amkuta Mayele Jumapili, Desemba 04, 2022 Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri amefikisha mabao 10 kwenye ligi na kufikia idadi sawa na Fiston Mayele wa Yanga.Phiri alifunga mabao mawili katika mchezo dhidi ya Coastal Union uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga na kufikia idadi hiyo. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption
Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi... ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...
Bangala amkaushia Ibenge KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...
Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...