Hawa ndio Al Merrikh, unajipigia!

VITUME vidole vyako viguse batani au kioo cha simu yako kisha tembelea kwenye moja ya tovuti za kampuni za ndege halafu fanya mchakato wa kununua tiketi itakayokupeleka Khartoum.

Ukishuka ulizia mkalimani wa Lugha ya Kingereza kwenda Kiarabu, halafu fanya safari ya kwenda makao makuu ya Al-Merrikh Sporting Club.

Ukifika mapokezi muombe mkalimani amwambie dada wa mapokezi kwamba unahitaji kukutana na mwanahistoria wa timu hiyo.

Kusoma stori nzima bonyeza: https://fupi.co.tz/jPbWh04