Changamoto ya kupumua yaibeba Simba

Saturday February 27 2021
pic
By Clezencia Tryphone

WAKATI timu mbalimbali zinazoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika zikipata athari kubwa juu ya virusi vya corona, wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo, Simba ni kama wamepata faida zaidi.

Simba iko kundi moja na mabingwa wa kombe hilo, Al Ahly, Al Merrikh pamoja na As Vita licha ya ugumu wa miamba hiyo, lakini inaongoza kundi ikiwa na pointi sita baada ya kuifunga AS Vita kwa bao 1-0 na Al Ahly bao 1-0.

Corona licha ya kuenea duniani kote, lakini kwa Tanzania imekuwa tofauti na nchi nyingine ambazo zimeweka zuio la watu kutotoka majumbani ili kupunguza maambuziki.

Kusoma stori nzima bonyeza: https://fupi.co.tz/jPbWh04

Advertisement