Dili zote za usajili wa Januari England

LONDON, ENGLAND. CHELSEA imefunga kibabe dirisha la usajili wa Januari usiku wa juzi Jumanne baada ya kunasa huduma ya kiungo Enzo Fernandez katika dakika za mwisho kabisa kwa dili lililovunja rekodi ua uhamisho Uingereza, Pauni 106 milioni.

Supastaa huyo wa Kiargengina aliyeshinda taji la Kombe la Dunia 2022 huko Qatar, Fernandez ametua zake Stamford Bridge na kusaini mkataba wa miaka minane akitokea Benfica.

Wakati hilo likitokea Stamford Bridge, huko Emirates - Arsenal imefunga dirisha la usajili kwa kunasa huduma ya Jorginho kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni 12 milioni, huku Manchester United yenyewe ikimaliza kwa usajili wa mkopo wa kiungo Marcel Sabitzer kutoka Bayern Munich.

Dirisha la uhamisho wa Januari limefungwa na hii hapa ni orodha kamili ya wachezaji walioingia na kutoka kwenye vikosi vya Ligi Kuu England.

Arsenal
Wameingia: Leandro Trossard ( Brighton, Pauni 27milioni), Jakub Kiwior (Spezia, Pauni 21milioni), Jorginho (Chelsea, Pauni 12milioni).

Wametoka: Brooke Norton-Cuffy (Coventry, mkopo), Miguel Azeez (Wigan, mkopo), Tom Smith (Colchester, mkopo) Marquinhos (Norwich, mkopo), Omar Rekik (Wigan, mkopo), Albert Sambi Lokonga (Arsenal, mkopo), Nathan Butler-Oyedeji (Accrington, mkopo), Cedric Soares ( Fulham, mkopo).

Aston Villa
Wameingia: Alex Moreno (Real Betis, Pauni 13milioni), Jhon Duran (Chicago Fire, Pauni 15milioni).
Wametoka: Cameron Archer (Middlesbrough, mkopo), Tyreik Wright (Plymouth Argyle, imefichwa), Danny Ings ( West Ham, Pauni 15milioni), Frederic Guilbert (Strasbourg, bure), Morgan Sanson (Strasbourg, mkopo), Louie Barry (Salford City, mkopo), Aaron Ramsey (Middlesbrough, mkopo), Marvelous Nakamba (Luton, mkopo).

Bournemouth
Wameingia: Dango Outtara (Lorient, Pauni 20milioni), Darren Randolph (West Ham, bure), Antoine Semenyo (Bristol City, Pauni 10.5milioni), Matias Vina (Roma, mkopo), Illia Zabarnyi (Dynamo Zagreb, imefichwa), Hamed Traore (Sassuolo, mkopo), Siriki Dembele (Auxerre, mkopo).
Wametoka: James Hill (Hearts, mkopo), Jamal Lowe (QPR, mkopo), Will Dennis (Slough, mkopo), Emiliano Marcondes (Nordsjaelland, mkopo).

Brentford
Wameingia: Conor McManus (Bray Wanderers, imefichwa), Kevin Schade (Freiburg, mkopo), Byron Wilson (Coventry, bure), Romeo Beckham (Inter Miami, mkopo).
Wametoka: Aaron Pressley (Accrington, mkopo), Mads Bech Sorensen (Groningen, mkopo), Tariqe Fosu (Rotherham, mkopo), Charlie Goode (Blackpool, mkopo), Sergi Canos (Olympiacos, mkopo).

Brighton
Wameingia: Facundo Buonanotte (Rosario Central, Pauni 6milioni), Jamie Mullins (Bohemians, imefichwa), Yasin Ayari (AIK, Pauni 3.5milioni).
Wametoka: Aaron Connolly (Hull, mkopo), Reda Khadra (Birmingham, mkopo), Todd Miller (Doncaster, mkopo), Ed Turns (Leyton Orient, mkopo), Leandro Trossard (Arsenal, Pauni 27milioni), Antef Tsoungui (Lommel, mkopo).

Chelsea
Wameingia: Mykhaylo Mudryk (Shakhtar Donetsk, Pauni 87milioni), Benoit Badiashile (Monaco, Pauni 35milioni), Andrey Santos (Vasco da Gama, Pauni 18milioni), David Datro Fofana (Molde FK, Pauni 10milioni), Joao Felix (Atletico Madrid, mkopo), Noni Madueke (PSV, Pauni 29milioni), Malo Gusto (Lyon, Pauni 26.3milioni), Enzo Fernandez (Benfica, Pauni 106milioni).
Wametoka: Cesar Casadei (Reading, mkopo), Malo Gusto (Lyon, mkopo), Jude Soonsup-Bell (Tottenham, imefichwa), Jorginho (Arsenal, Pauni 12milioni).

Crystal Palace
Wameingia: Albert Sambi Lokonga (Arsenal, mkopo), Naouirou Ahamada (Stuttgart, imefichwa).
Wametoka: Jack Butland ( Manchester United, mkopo), Killian Phillips (Shrewsbury, mkopo), John-Kymani Gordon (Carlisle, mkopo), Malcolm Ebiowei (Hull, mkopo), David Boateng (Dover, mkopo), Luke Plange (Lincoln, mkopo).

Everton
Wameingia: Hakuna.
Wametoka: Salomon Rondon (River Plate, bure), Nathan Broadhead (Ipswich, imefichwa), Tom Cannon (Preston, mkopo), Niels Nkounkou (Saint-Etienne, mkopo), Eldin Jakupovic (LAFC, bure), Tyler Onyango (Forest Green, mkopo), Anthony Gordon ( Newcastle, Pauni 45milioni).

Fulham
Wameingia: Sasa Lukic (Torino, Pauni 10milioni), Cedric Soares (Arsenal, mkopo).
Wametoka: Anthony Knockaert (Huddersfield, mkopo) Josh Onomah (Preston, bure), Nathaniel Chalobah (West Brom, imefichwa), Josh Onomah (Preston, bure).

Leeds United
Wameingia: Georginio Rutter (Hoffenheim, Pauni 35milioni), Max Wober (RB Salzburg, imefichwa), Weston McKennie ( Juventus, mkopo), Diogo Monteiro (Servette, imefichwa).
Wametoka: Mateusz Klich (DC United, bure), Alfie McCalmont (Carlisle, mkopo), Leo Hjelde (Rotherham, mkopo), Cody Drameh (Luton, mkopo) Joe Gelhardt (Sunderland, mkopo), Diego Llorente (Roma, mkopo).

Leicester City
Wameingia: Victor Kristiansen (Copenhagen, Pauni 17milioni), Tete (Shakhtar Donetsk, bure), Nathan Opoku (FDM Field Masters Sporting Club, imefichwa), Harry Souttar (Stoke, Pauni 15milioni).
Wametoka: George Hirst (Ipswich, mkopo), Jakub Stolarczyk (Hartlepool, mkopo), Jarell Quansah (Bristol Rovers, mkopo), Ben Nelson (Doncaster, mkopo), Ayoze Perez (Real Betis, mkopo), Nathan Opoku (OH Leuven, mkopo), Marc Albrighton (West Brom, mkopo).

Liverpool
Wameingia: Cody Gakpo (PSV Eindhoven, Pauni 37milioni).
Wametoka: Jake Cain (Swindon, imefichwa).

Manchester City
Wameingia: Maximo Perrone (Velez Sarsfield, Pauni 8milioni).
Wametoka: Morgan Rogers (Blackpool, mkopo), Josh Wilson-Esbrand (Coventry, mkopo), Liam Delap (Preston, mkopo) Joao Cancelo (Bayern Munich, mkopo), Luke Mbete (Bolton, mkopo).

Manchester United
Wameingia: Wout Weghorst (Burnley, mkopo), Jack Butland (Crystal Palace, mkopo), Marcel Sabitzer (Bayern Munich, mkopo).
Wametoka: Cristiano Ronaldo (Al-Nassr, bure), Charlie Savage (Forest Green, mkopo), Charlie McNeill (Newport, mkopo), Shola Shoretire (Bolton, mkopo), Di'Shon Bernard (Portsmouth, mkopo), Axel Tuanzebe (Stoke, mkopo), Ondrej Mastny (Portadown, mkopon).

Newcastle United
Wameingia: Garang Kuol (Central Coast Mariners, Pauni 300,000), Amadou Diallo (bure), Anthony Gordon (Everton, Pauni 45milioni), Harrison Ashby (West Ham, Pauni 3milioni).
Wametoka: Garang Kuol (Hearts, mkopo), Joe White (Exeter, mkopo), Chris Wood (Nottingham Forest, mkopo), Niall Brookwell (Darlington, mkopo), Jonjo Shelvey (Nottingham Forest, imefichwa), Karl Darlow (Hull, mkopo).

Nottingham Forest
Wameingia: Gustavo Scarpa (Palmeiras, bure), Danilo (Palmeiras, Pauni 16milioni), Chris Wood (Newcastle, mkopo), Felipe (Atletico Madrid, imefichwa), Jonjo Shelvey (Newcastle, imefichwa), Keylor Navas (Paris Saint-Germain, mkopo).
Wametoka: Josh Bowler (Blackpool, mkopo), Loic Mbe Soh (Guingamp, mkopo), Ateef Konate (Oxford, mkopo).

Southampton
Wameingia: Mislav Orsic (Dinamo Zagreb, Pauni 8milioni), Carlos Alcaraz (Racing Club, Pauni 12milioni), James Bree (Luton, Pauni 750,000), Kamaldeen Sulemana (Rennes, Pauni 22milioni).
Wametoka: Dynel Simeu (Morecambe, mkopo), Dan Nlundulu (Bolton, mkopo), Lewis Payne (Eastleigh, mkopo), Thierry Small (St Mirren, mkopo), Jack Turner (Braintree, mkopo).

Tottenham Hotspur
Wameingia: Arnaut Danjuma (Villarreal, mkopo), Jude Soonsup-Bell (Chelsea, imefichwa), Pedro Porro (Sporting Lisbon, Pauni 40milioni)
Wametoka: Bryan Gil (Sevilla, mkopo), Matt Doherty (Atletico Madrid, mkopo), Djed Spence (Stade Rennais, mkopo).

West Ham United
Wameingia: Luizao (Sao Paulo, imefichwa), Danny Ings (Aston Villa, Pauni 15milioni).
Wametoka: Thierry Nevers (Bradford, mkopo), Craig Dawson (Wolves, Pauni 3.3milioni), Darren Randolph (Bournemouth, bure), Conor Coventry (Rotherham, mkopo), Will Greenidge (Colchester, mkopo), Pierre Ekwah (Sunderland, imefichwa), Harrison Ashby (Newcastle, Pauni 3milioni).

Wolves
Wameingia: Matheus Cunha (Atletico Madrid, mkopo), Mario Lemina (Nice, Pauni 9milioni), Pablo Sarabia (Paris Saint-Germain, Pauni 5milioni), Craig Dawson (West Ham, Pauni 3.3milioni), Dan Bentley (Bristol City, Pauni 50,000), Joao Gomes (Flamengo, Pauni 15milioni).

Wametoka: Leo Bonatini (Atletico San Luis, bure), Joe Young (Telford, mkopo), Leonardo Campana (Inter Miami, Pauni 2milioni), Connor Ronan (Colorado Rapids, Pauni 500,000), Goncalo Guedes (Benfica, mkopo), Fabio Silva (PSV Eindhoven, mkopo), Matija Sarkic (Stoke, mkopo), Ki-Jana Hoever (Stoke, mkopo), Jackson Smith (Walsall, mkopo), Chem Campbell (Wycombe, mkopo).