Dili za usajili zilizokamilika Ligi Kuu England

Muktasari:
MCHONGO wa mashabiki wa Ligi Kuu England kwa sasa ni kusubiri kukamilika rasmi kwa dili la Jadon Sancho huko Manchester United, huku wakisikilizia dili nyingine za masupastaa wa nguvu wanaohusishwa na klabu za ligi hiyo.
LONDON, ENGLAND. MCHONGO wa mashabiki wa Ligi Kuu England kwa sasa ni kusubiri kukamilika rasmi kwa dili la Jadon Sancho huko Manchester United, huku wakisikilizia dili nyingine za masupastaa wa nguvu wanaohusishwa na klabu za ligi hiyo.
Pau Torres, Edouardo Camavinga, Raphael Varane, Kylian Mbappe, Cristiano Ronaldo, Romelu Lukaku, Antoine Griezmann, Erling Haaland, Robert Lewandowski ni majina machache ya masupastaa wa dunia ambao wamekuwa wakihusishwa na klabu za Ligi Kuu England.
Sambamba na hilo kuna dili za ndani kwa ndani zinasubiriwa kwa hamu kama ile ya Harry Kane, huku mastaa wengine kibao wakiwekwa kwenye kundi la kuchomoka kwenye ligi hiyo na kutimkia ng’ambo kabla ya dirisha kufungwa, akitajwa Paul Pogba.
Wakati yote hayo yakisubiriwa, hizi hapa dili zilizokamilika tayari zinazohusu mastaa waliotua na kuondoka katika kila kikosi kwenye mikikimikiki hiyo ya Ligi Kuu England…
ARSENAL
WAMEONDOKA:
David Luiz (ametemwa)
Matteo Guendouzi (mkopo, Marseille)
Mark McGuiness (Cardiff)
Trae Coyle (FC Lausanne-Sport)
Zech Medley (KV Oostende)
Daniel Ballard (mkopo, Millwall)
Ben Sheaf (Coventry)
Matt Smith (mkopo, Doncaster)
ASTON VILLA
WAMETUA:
Emiliano Buendia (Pauni 35m, Norwich)
Ashley Young (bure, Inter Milan)
WAMEONDOKA:
Neil Taylor (ametemwa)
Ahmed Elmohamady (ametemwa)
Bjorn Engels (Royal Antwerp)
Callum Rowe (Exeter City)
Tom Heaton (Man United)
BRENTFORD
WAMEONDOKA:
Henrik Dalsgaard (FC Midtjylland)
Emiliano Marcondes (Bournemouth)
BRIGHTON
WAMETUA:
Enock Mwepu (Pauni 18m, RB Salzburg)
WAMEONDOKA:
Teddy Jenks (mkopo, Aberdeen)
Jose Izquierdo (ametemwa)
Davy Propper (PSV Eindhoven)
Alex Cochrane (mkopo, Hearts)
Jan Mlakar (Hadjuk Split)
Bernardo (RB Salzburg).
BURNLEY
WAMETUA:
Nathan Collins (Pauni 12.6m, Stoke)
WAMEONDOKA:
Ryan Cooney (Morecambe)
Robbie Brady (ametemwa)
Joel Mumbongo (mkopo, Accrington Stanley)
Ben Gibson (Pauni 8.37m, Norwich)
CHELSEA
WAMEONDOKA:
Fikayo Tomori (Pauni 25m, AC Milan)
Victor Moses (Pauni 4.5m, Spartak Moscow)
Nathan Baxter (mkopo, Hull)
Levi Colwill (mkopo, Huddersfield)
Billy Gilmour (mkopo, Norwich City)
Juan Familia-Castillo (mkopo, Birmingham)
Luke McCormick (Wimbledon)
Izzy Brown (Preston)
Marco Van Ginkel (ametemwa)
Willy Caballero (ametemwa)
Jamal Blackman (ametemwa)
Danilo Pantic (ametemwa)
CRYSTAL PALACE
WAMEONDOKA:
Andros Townsend (ametemwa)
Patrick van Aanholt (ametemwa)
Mamadou Sakho (ametemwa)
Stephen Henderson (ametemwa)
James McCarthy (ametemwa)
Wayne Hennessey (ametemwa)
Nathaniel Clyne (ametemwa)
Gary Cahill (ametemwa)
Scott Dann (ametemwa)
Joel Ward (ametemwa)
Connor Wickham (ametemwa)
Sam Woods (ametemwa)
EVERTON
WAMEONDOKA
Theo Walcott (Southampton)
Matthew Pennington (Shrewsbury)
Josh Bowlers (Blackpool)
Callum Connolly (Blackpool)
Yannick Bolasie (ametemwa)
Muhamed Besic (ametemwa)
LEEDS UNITED
WAMETUA:
Jack Harrison (Pauni 11.5m, Man City)
Junior Firpo (Pauni 12.8m, Barcelona)
WAMEONDOKA:
Ryan Edmondson (mkopo, Fleetwood)
Oliver Casey (Blackpool)
Ouasim Bouy (ametemwa)
Barry Douglas (ametemwa)
Gaetano Berardi (ametemwa)
Pablo Hernandez (ametemwa)
Eunan O’Kane (ametemwa)
Alfie McAlmont (mkopo, Morecambe)
LEICESTER CITY
WAMETUA:
Patson Daka (Pauni 27m, RB Salzburg)
Boubakary Soumare (Pauni 17m, Lille)
WAMEONDOKA:
Josh Knight (Peterborough)
Christian Fuchs (ametemwa)
Matty James (ametemwa)
Wes Morgan (amestaafu)
LIVERPOOL
WAMETUA:
Ibrahima Konate (Pauni 36m, RB Leipzig)
WAMEONDOKA:
Georginio Wijnaldum (PSG)
Adam Lewis (mkopo, Livingston)
Sepp van den Berg (mkopo, Preston)
Kamil Grabara (Pauni 3.15m, FC Copenhagen)
Paul Glatzel (mkopo, Tranmere)
Liam Coyle (Accrington)
MANCHESTER CITY
WAMEONDOKA:
Sergio Aguero (Barcelona)
Eric Garcia (Barcelona)
Daniel Grimshaw (Blackpool)
Fernandinho (ametemwa)
Taylor Harwood-Bellis (mkopo, Anderlecht)
Issa Kabore (mkopo, Troyes)
Marlos Moreno (mkopo, KV Kortrijk)
James Trafford (mkopo, Accrington Stanley)
Gavin Bazunu (mkopo, Portsmouth)
Lewis Fiorini (mkopo, Mansfield)
Alex Robertson (mkopo, Notts County)
Jack Harrison (Pauni 11.5m, Leeds United)
MANCHESTER UNITED
WAMETUA:
Tom Heaton (bure, Aston Villa)
WAMEONDOKA:
Sergio Romero (ametemwa)
Lee Grant (ametemwa)
Joel Pereira (ametemwa)
Nathan Bishop (mkopo, Mansfield)
Reece Devine (mkopo, St. Johnstone)
NEWCASTLE UNITED
WAMEONDOKA:
Andy Carroll (ametemwa)
Henri Saivet (ametemwa)
Christian Atsu (ametemwa)
NORWICH CITY
WAMETUA:
Milot Rashica (Pauni 9.9m, Werder Bremen)
Angus Gunn (Pauni 2.5m, Southampton)
Ben Gibson (Pauni 8.37m, Burnley)
Dimitrios Giannoulis (Pauni 6.75m, PAOK Salonika)
Billy Gilmour (mkopo, Chelsea)
WAMEONDOKA:
Emiliano Buendia (Pauni 35m, Aston Villa)
Philip Heise (Karlsruher)
Mario Vrancic (Stoke)
Orjan Nyland (ametemwa)
Moritz Leitner (ametemwa)
Marco Stiepermann (ametemwa)
Josh Martin (mkopo, MK Dons)
Sebastian Soto (mkopo, Porto B)
Daniel Barden (mkopo, Livingston)
Josip Drmic (mkopo, HNK Rijeka)
SOUTHAMPTON
WAMETUA:
Theo Walcott (bure, Everton)
Romain Perraud (Pauni 11.7m, Stade Brest)
WAMEONDOKA:
Wesley Hoedt (Anderlecht)
Ryan Bertrand (ametemwa)
Josh Sims (ametemwa)
Jake Hesketh (ametemwa)
Sam McQueen (ametemwa)
Angus Gunn (Pauni 2.5m, Norwich)
Kayne Ramsey (mkopo, Crewe)
Thomas O’Connor (Burton)
Jake Vokins (mkopo, Ross County)
TOTTENHAM HOTSPUR
WAMEONDOKA:
Juan Foyth (Pauni 13m, Villarreal)
Danny Rose (Watford)
Shilow Tracey (Cambridge United)
Paulo Gazzaniga (ametemwa)
George Marsh (AFC Wimbledon)
WATFORD
WAMETUA:
Imran Louza (Pauni 9m, Nantes)
Mattie Pollock (Pauni 250,000, Grimsby)
Kwadwo Baah (imefichwa, Rochdale)
Ashley Fletcher (bure, Middlesbrough)
Danny Rose (bure, Tottenham)
Emmanuel Dennis (Pauni 3.6m, Club Brugge)
WAMEONDOKA:
Ben Wilmot (Pauni 1.5m, Stoke)
Craig Dawson (Pauni 2m, West Ham)
Achraf Lazaar (ametemwa)
Carlos Sanchez (ametemwa)
Jerome Sinclair (ametemwa)
Jorge Segura (mkopo, CD America)
WEST HAM
WAMETUA:
Craig Dawson (Pauni 2m, Watford)
Thierry Nevers (bure, Reading)
WAMEONDOKA:
Dapo Afolayan (Bolton)
Joseph Anang (mkopo, Stevenage)
Fabian Balbuena (ametemwa)
Christian Herc (Grasshoppers)
WOLVES
WAMETUA:
Yerson Mosquera (Pauni 4.5m, Atletico Nacional)
Trincao (mkopo, Barcelona).
WAMEONDOKA:
Christian Herc (Grasshoppers)
John Ruddy (ametemwa)
Sadou Diallo (Forest Green).