Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kanye West atumia Sh2 bilioni kwenye meno

Muktasari:

  • Nyota huyo ame-share picha ikimuonyesha akiwa na meno hayo na kisha kuweka picha za muigizaji kutoka nchini humo #JamesBond akiwa na meno hayo pia, ambazo ndizo zimemshawishi Kanye kuweka

Marekani. ‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, Kanye West ametingisha mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na meno ya ‘grills’ yenye thamani ya dola 850,000 za Marekani (Sh2.1 bilioni).

Kupitia mtandao wa Instagram, nyota huyo ame-share picha ikimuonyesha akiwa na meno hayo na kisha kuweka picha za muigizaji kutoka nchini humo #JamesBond akiwa na meno hayo pia, ambazo ndizo zimemshawishi Kanye kuweka.

Picha za #JamesBond ambazo Kanye ame-share ni zile zinazomuonyesha muigizaji huyo akiwa na meno ya aina hiyo kwenye movie ya ‘the spy who loved me’ iliyotoka mwaka 1997 na ‘moon raker’ ya mwaka 1979.

Picha za #JamesBond, ambazo Kanye ame-share ni zile ambazo zinamuonesha muigizaji huyo akiwa na meno ya aina hiyo kwenye movie ya ‘the spy who loved me’ iliyotoka mwaka 1997 na ‘moon raker’ ya mwaka  1979.