PRIME Nyuma ya pazia Diamond kushuka shoo za kimataifa Mwimbaji wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Diamond Platnumz anaonekana kuzidi kupunguza shoo za kimataifa kadiri miaka inavyozidi kusonga mbele licha ya kila mara kutangaza thamani yake kupanda...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Yanga, Coastal kuna mtu atalia Chamazi HESABU za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania kwa Yanga zipo mikononi mwa Coastal Union Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi huku wagosi hao wa Kaya nao wakitolea macho kumaliza...