Mastaa Azam wawekewa milioni 300 waigomee Simba AZAM FC hawatanii buana! hivyo ndio unaweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuamua kutoa motisha kwa mastaa wao kupambana kumaliza nafasi ya pili kwa ahadi ya kuwapa zawadi ya fedha Sh300...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers